Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Umerudi ila hujajibu.NARUDI...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umerudi ila hujajibu.NARUDI...
Mbinguni ni jina tu kama kusema kariakoo ila neno mbinguni linatumika kwasababu ni sehemu ambayo ipo nje ya uwezo wa mwanadamu kufika.Where he resides matters when defining whether he has phyiscal body(flesh) or he is spiritual.
Mungu makazi yake ni mbiguni(true).Heaven is a spiritual world so heavenly figures will have spiritual body contrary to earthly figures(human beings,animals,...) who have both spiritual body and phyiscal body(flesh)
Mambo ya kiroho huwa yanathibitishwa kiroho kama ambavyo ilivyo kwa mambo ya kimwili.Umerudi ila hujajibu.
Hujathibitisha roho ipo bado.Mambo ya kiroho huwa yanathibitishwa kiroho kama ambavyo ilivyo kwa mambo ya kimwili.
Mwili wa mwanadamu unakawaida ya kufanya kazi katika mazingira yote ya akiwa amelala au akiwa ameamka ila ukiwa umelala akili yako ndio inaouwezo wakufanya kazi vizuri zaidi ya ukiwa umeamka.
Sijui kama umeshawahi kuota ila wapo watu ambao huota ndoto za mambo ya jayo yaani mambo ambayo hayajatokea bado mtu anayaona akiwa amelala na siku kadhaa mbeleni mambo hayo hutokea kama vile ambavyo aliota na hii ni ishara ya kwamba mtu ni ushirikiano wa pande mbili ya kwamba upande tunaouona na ambao hatuuoni na ule ambao hatuuoni unanguvu kuliko ya huu ambao tunauona.
Ndio nakubali sema hoja ilikuwa kama Mungu ana mwili wa nyama au hapana?Mbinguni ni jina tu kama kusema kariakoo ila neno mbinguni linatumika kwasababu ni sehemu ambayo ipo nje ya uwezo wa mwanadamu kufika.
Ila kiuhakisia dunia inaulimwengu zaidi ya huu tunaoujua sisi na huko nako kuna maisha kama ambavyo ilivyo kwenye ulimwengu huu.
Mwanadamu pia hafi kinachokufa ni Mwili pekee ila sasa tofauti ya Mungu na mwanadamu ni kwamba kuna mmoja anamcontrol mwenzie na nimetolea mfano hapo wa wewe na robot lako ni kwamba wewe unalicontrol ndio maana unaouwezo wakuchukua kile kichipu kilichomo ndani yake na kurestore taarifa zote zilizomo ndani yake halafu kuweka taarifa zingine mpya.Ndio nakubali sema hoja ilikuwa kama Mungu ana mwili wa nyama au hapana?
Jibu ni hapana kwa sababu God is eternal(he lives forever).Kama angekuwa na mwili wa nyama basi angekufa(something impossible).Mwili wa nyama unakufa na kupotea lakini roho haifi kamwe which is why God is immortal and we are mortal because we have flesh bodies
Ndio lakini ni muhimu kuelewa kuwa heaven is a place for spiritual beings na ndio maana nakueleza Mungu hana flesh make up(sisi binadamu ndio tuna spiritual and physical part)Mwanadamu pia hafi kinachokufa ni Mwili pekee ila sasa tofauti ya Mungu na mwanadamu ni kwamba kuna mmoja anamcontrol mwenzie na nimetolea mfano hapo wa wewe na robot lako ni kwamba wewe unalicontrol ndio maana unaouwezo wakuchukua kile kichipu kilichomo ndani yake na kurestore taarifa zote zilizomo ndani yake halafu kuweka taarifa zingine mpya.
Na ndio maana roho za watu haifi ila pia zinaporudi tena humu duniani zinakua hazina kumbukumbu zote za maisha ya awali ila kama kusingekua na hiyo control inamaanisha mtu angerudi akiwa na kumbukumbu zote za awali kwa hiyo maisha yangeendelea kuanzia pale alipoishia kwenda mbele zaidi.
Ni kama ule mfano wa Yesu tu, kufa na kufufuka akiwa na kumbukumbu zake zote za maisha ya awali.
Thibitisha roho ipo.Soma tena hapo, tayari nimeshakuthibitishia mbona.
Again, mambo ya kiroho huthibitishwa kiroho.
Huwezi kuthibitisha roho ipo kwa namna ya kimwili ndio maana hata wewe mtu akija akakwambia uprove kwanini 2 + 2 = 4 utabaki tu kumshangaa kwa sababu 2 + 2 = 4 kwa ulimwengu wa hesabu ni kwamba iko hivyo yani ila pia hiyo hiyo 2 + 2 inaweza kuwa 22 kwenye ulimwengu wa programming.Thibitisha roho ipo.
Nakuelewa ila tunachotofautiana mimi na wewe ni kwamba wewe unakubali kwamba Mungu ni roho iliyo ndani ya mwili ambayo haifi kwa mujibu wa hiyo paragraph yako ya mwisho ila shida ya wewe huamini kama mwili huo unaweza kuwa ni sawa na mwili huu.Ndio lakini ni muhimu kuelewa kuwa heaven is a place for spiritual beings na ndio maana nakueleza Mungu hana flesh make up(sisi binadamu ndio tuna spiritual and physical part)
Kitu ambacho unaweza kuwa unapata ugumu kuamini ni kwamba the spiritual body is same as phyiscal body(tofauti ni kwamba spiritual body is eternal but physical body is not)
Hiko hivi spiritual body ni sawa na physical body.Nimesema pia tofauti ni moja tu(phyiscal body is not real(perishes) but spiritual body is real(lives forever)).Nakuelewa ila tunachotofautiana mimi na wewe ni kwamba wewe unakubali kwamba Mungu ni roho iliyo ndani ya mwili ambayo haifi kwa mujibu wa hiyo paragraph yako ya mwisho ila shida ya wewe huamini kama mwili huo unaweza kuwa ni sawa na mwili huu.
Kwani wapi nimekwambia uthibitishe roho ipo kwa namna ya kimwili?Huwezi kuthibitisha roho ipo kwa namna ya kimwili ndio maana hata wewe mtu akija akakwambia uprove kwanini 2 + 2 = 4 utabaki tu kumshangaa kwa sababu 2 + 2 = 4 kwa ulimwengu wa hesabu ni kwamba iko hivyo yani ila pia hiyo hiyo 2 + 2 inaweza kuwa 22 kwenye ulimwengu wa programming.
Sasa ukimchukua mtu anaetokea kwenye ulimwengu wa hesabu ukamwambia 2 + 2 = 22 hawezi kukuelewa na mtabishana hadi mwisho wa dunia kwa sababu anavyoamini ndani yake ni tofauti na anavyoamini yule wa programming.
Mambo ya kiroho huthibitishwa kiroho kwa watu wa kiroho ila ni ngumu kiyathibitisha kwa watu wa kimwili.
Kusema a-prove kama roho hipo au hakuna nadhani sio kazi yake(lakini hii haifanyi kwamba roho haipo)Thibitisha roho ipo.
Sasa kama wewe unakataa Mungu hana mwili inamaana unapingana na maandiko kwa maana maandiko ndio yanasema tumeumbwa kwa mfano wake sasa mfano hauwezi kuwa tofauti na halisi kwa namna ya muonekano ila baadhi ya vitu vya ndani ndio hutofautiana.Hiko hivi spiritual body ni sawa na physical body.Nimesema pia tofauti ni moja tu(phyiscal body is not real(perishes) but spiritual body is real(lives forever)).
Kusema kuwa Mungu yupo na physical body(flesh) nasema ni big NO.Kumbuka kabla ya kifo au kuchukuliwa kama ilivyokuwa kwa Enoch au Elijah(they went through transformations) ndio waliweza kwenda mbinguni.
Look,kila kitu kinawezekana kwa Mungu(lakini ni muhimu kuelewa kuwa hii phyiscal body ina limitations zake.Kuna vitu ukiwa katika phyiscal body form huwezi kufanya(mfano,disappearance without trace,like what Moses and Elijah did when they appeared to Jesus or what Raphael(the angel) did)
Anayesema roho ipo ndiye mwenye wajibu wa kuthibitisha roho ipo.Kusema a-prove kama roho hipo au hakuna nadhani sio kazi yake(lakini hii haifanyi kwamba roho haipo)
Hiko hivi,kama unakubali kwamba human being do have brain,mind,thoughts and list goes on nadhani inatosha kukubali kwamba kuna roho(kama sio kweli basi tueleza thoughts zinaingia kwenye kategory gani katika muundo wa mwanadamu?)
Look,kila discipline inakuwa na principles zake ambazo ndio base ya kufikia ukweli.Religion does have faith,science does have experimentation,philosphy does have logic(reasoning).Sasa unapolazimisha principles za discipline tofauti zikusaidie kufikia ukweli kwenye discipline nyingine ndio conflicts hutokea
Sitaki imani, nataka uthibitisho.Sasa si tutakua na mjadala usio na mwisho kwa maana wewe na mimi tunatoka kwenye imani tofauti na ndio maana nikakupa huo mfano hapo juu.
ILa roho inakufu bana, 😅Sasa kama wewe unakataa Mungu hana mwili inamaana unapingana na maandiko kwa maana maandiko ndio yanasema tumeumbwa kwa mfano wake sasa mfano hauwezi kuwa tofauti na halisi kwa namna ya muonekano ila baadhi ya vitu vya ndani ndio hutofautiana.
Again yesu mwenyewe alisema kwamba ukimuona yeye basi umemuona baba kwa maana kama alivyo baba ndivyo atakavyo kuwa mwana.
Lakini pia maandiko yanasema baada ya miaka 130 Adamu akazaa mwana kwa mfano wake.
Hilo andiko linakurudisha kwenye uwepo ya kwamba unaposikia kwa mfano wake ni kwamba hakutakua na utofauti wa muonekano labda kwenye uwezo wa utendaji kwa hiyo Mungu ni roho iliyo ndani ya mwili.
Na nikukumbushe tu ya kwamba tunaposema Mungu ni sawa na kusema binadamu kwa maana ya kwamba Mungu ni neno ambalo linatumika ila sio kiumbe mmoja isipokua ni jamii ya viumbe kwa umoja wao ndio huitwa Mungu kama ilivyo kwetu sisi kwa umoja wetu kuita binadamu.