Na hii ndio tofauti ya klabu bingwa na kombe la shirikisho

Safi sana
 
Hapa ndo tujifunze kuwa maisha hayana kanuni huwa yanabadilika muda wowote . Usimzarau mtu kwa kuwa hujui kesho Yako na wewe itakuaje.. Mungu anakuonyesha kwa vitendo ili ukumbuke kuwa anayetoa riziki ni yeye na si midomo au nguvu yetu sisi na majigambo hewa. Simba shirikisho yanga club bingwa.
 
Maisha ni gwaride mara nyuma geuka wa mbele kawa wa nyuma😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…