Na hizi ndio NDOA ZENU: Mwamba kashaangukiwa na chuma kizito

Mpango wa shetani n kuhakikisha dunian hakuna ndoa. Ambako kutapelekea watoto weng kuzaliwa pasipo ndoa kitu ambacho kitapekelea uzinifu mwisho tunaingia motoni.
Wengne n mawakala wa shetani.
Kuiahi peke yako n vizuri ila usiingie dhambin hasa ya kuzini ama kutaka kupata mtoto ilihali huna mke.

Ushauri mwingne tuupime tuuangalie katika pande zote yan za kiroho na kimwili
 
Ndoa tamu mkuu,
Usipotoshe wanaume wenzio[emoji4]
Wengne n mawakala wa shetani. Mtu anaweza kuwa wakala wa shetan kwa kujijua ama pasipojijua.
Mungu aliposema zaeni mkaijaze dunia sidhan na sijawah fikiria kuwa alikuwa mjinga.
Mtu ka hujampata mtu sahihi ngojea mpaka mambo yawe sawaaa then ndoa itakuwa tamu.
Tusifundiahaje ujinga jamaniiii

Mtoa post kakosea sana katka hili sema kwakuwa anafanya kaz ya shetan. Kashetan katamwambia uko sawaa
 
Jamaa waliopata ajira juzi Kwa kweli wanna furaha Dana nimeitwa juzi kusherekea wanangu watatu tumefurai japo ni joblesss

Anyway ndoa bado ni mtihani Kwa kweli ila muhimu sana japo sio lazima
Na mkono wa ibilisi u katika ndoa katka uzao sasaaaa hapo ndipo jarbu kuu lilipo.
 
Mimi Mtabiri nasema

Ndoa ya jamaa ilivunjika toka siku ya kwanza anamuoa huyo Binti mwalimu .Kilichokuja kutokea huku mwishoni ni matokeo tuu brother believe me.
Waliishi miaka mi3 demu akiwa so faithfully ila baada ya ndoa pembe zikatokeza.
Na sasa pembe Zina muumiza baharia.

#YNWA
 
Nikweli ila kuzaa pasipo ndoa hapo n uzinifu tuu. Watoto wa nje ya ndoa ndio tatizo la kesho. Watoto wa upotevuni
Wengi tu wamezaliwa nje ya ndoa na ni watu wenye mafanikio lukuki.
Na wengi wao ndio hufanikiwa sanaa kuliko waliozaliwa kwenye ndoa.

Fanya hii research.
Chunguzaa wa baba wenye watoto nje ya ndoa, utakuta waliozaliwa nje ya ndoa ndio huwa Bora sanaa kwenye maisha.


#YNWA
 
So tuhalalishe watu wazinii?
 
Sikia hii habari

INTRO
Nyie mabaharia kwani u-single unawashinda nini? Hivi mnajua kuoa ni kutafuta matatizo. Kuna baharia mwenzetu yashamkuta huku.
Huyo mwanamke ni mwalimu na kwa madai yake "Walimu ndio huwa wake Bora"

Walimu wa kike hapa ndio hufanya wavimbe kichwa. Mbona Wengine mama zetu sio walimu na ni wanawake Bora katika ndoa zao na malezi mazuri? Kwanza mimi siamini eti walimu ni wife material. Wengi wao wanalazimisha ndoa na wakiingia katika ndoa wanageuka incubator tu ushahidi tunao. Sina ugomvi nao lakini wife material sio Lazima awe mwalimu
 
Kuoa ni njema kama utapata mwanamke, mwema mwenye busara upendo na uvimilivu..... Kuolewa ni kuzuri kama ukipata mwanaume mwenye upendo, utimamu na mwenye kuijua thamani ya mwanamke......Kuoa au Kuolewa hua ni bahati njema ikidondokea kwa watu wema..... Lkn ikidondokea kwa watu majeuri hakuna ndoa hapo..... Kweny swala la ndoa kuvunjika na kuvurugika... Huenda huyo rafik ako pia alikua chanzo cha ndoa yake kuharibika...... Haya mambo ni kuomba tu Mungu.... Tusiwashauri vijana wenzetu wasiingie kweny ndoa tuwahimize upendo, uvimilivu na hekima.... Na tuwape mifano ya ndoa ambazo zimedumu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Angalia asijekujinyonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…