Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuwadanganya wenzako kama wewe na huyu jembe wako mmekutana na malaya sio wote watakutana na malaya kama nyie .Sikia hii habari
INTRO
Nyie mabaharia kwani u-single unawashinda nini? Hivi mnajua kuoa ni kutafuta matatizo. Kuna baharia mwenzetu yashamkuta huku.
FLASH BACK
Nilianza kumjua 2019 baada ya kuhamia pale ofisini. Alikuja akiwa na demu (mchumba) kwa kipindi hicho walikua na miaka mi3 wapo pamoja.
2020 akaleta kadi za harusi/michango anataka kumuoa. Kwenye mahojiano yetu as "Men talks" alisema kashamchunguza vya kutosha hivyo anataka kumuoa.
Huyo mwanamke ni mwalimu na kwa madai yake "Walimu ndio huwa wake Bora"
Michango tukatoa na harusi ikafanyika, ila mi nilimuonea huruma sanaa mwamba kwa kuamua kuoa.
SCENARIO
1. Mwaka jana kwenye mwezi wa 10 nilianza kuhisi utofauti wa yule demu/mwalimu/shemeji.
Kuna siku nilikua nakula zangu mingo nikamkuta kavaa blauzi ya net na suruali ya mchaniko mapajani. Kwa hiyo brauzi ya net aliyoivaa ilikua unaona kila kitu kasoro vile vilivyofunikwa na sidiria tu.
Sasa Kwa ninavyomjua mwamba ni mtu strictly sanaa, nikawaza "Mwamba kamruhusu mke avae nguo hizi kweli halafu atembee nazo mjini!"
Zile nguo za ajabu ziliendelea siku baada ya siku, raia tukawa tuna shangaa na kujiuliza maswali yasiyo na majibu!
Kwa kuwa hayanihusu "Nilipiga buyuuu"
2. Mwaka huu mwamba alianza kubadilika kimisemo.
Katikati ya maongezi yetu alikua anatoa kauli nzito na ngumu hasaaa..
Alikua akitoa kauli kama:
i. Ndoa muda mwengine ni upuuzi tu
ii. Wengine tupo kwenye ndoa sababu ya watoto tu.
iii. Mlioa nawashauri msioe
iv. Wanawake wapuuzi sanaa.
Mnaweza kuwa kwenye utani wanaume mnaongelea mademu ye akatoa kauli ngumu hasaaa.
THE TRUTH
Siku hizi braza anapost sanaa majuto ya ndoa kwenye WhatsApp status yake.
Hii inajidhihirisha kuwa kwenye ndoa yake "Kuna Majanga"
Status zake za WhatsApp ni manung'uniko na majuto ya ndoa. Kila siku lazima atoe dongo.
Na jana nilivyoona zimezidi ili bidi nimfate inbox na alichonijibu "Braza mi sina ndoa Tena!"
UBISHI
Huyu mwamba aliishi na demu miaka mi3.
Alihisi miaka mi3 inatosha kumjua mwalimu na kumuoa.
Mwalimu alivyoolewa ndani ya miaka mi2 akaamua kuonyesha mapembe. Na sasa mapembe yanamuumiza baharia mwenzangu.
Huyu ni mmoja wa wanaume wabishi ambao waligoma kuelewa ile slogan ya "USIOE" ye akahisi sisi ambao ambao hatujaoa ni mapimbii na sasa yamemkuta.
Na asichokujua hili limeanza kumuumiza mpaka kazini, maana ofisini hakai, na akikaa hakuna anachofanya. Dah kwakuwa wanaume huwa tunabebana then huwa tunafanya mpaka Kazi zake!
Mkiambiwa msioe muwe mnaelewa.
FINALIZING
Anyway tuendelee kutafuta hela.
If you think money does not bring happiness, nenda kawaulize waliopata ajira za TRA juzi hapo!
Money brings everything in life!
#YNWA
Asiyetaka kuoa anataka kuolewa yeye.Sikia hii habari

Kuoa sio lazima.Asiyetaka kuoa anataka kuolewa yeye.
We mwalimu wa moja wapo ya Wilaya ndani ya Mkoa wa Songwe?Kama wew hujisikii oa waache walioa waishi maisha yao kwanza rafiki yako unamuanikaje hapa
Pia hata iyo yako ya uzeeni unaweza kupata majnaga vilevile muhimu kustiriana tu ndo maana nyumba zikajengwa na chumba Cha wanandoa kikawa na upekee
Na wote tuseme Amen[emoji120]Ndoa ni kwa wanaume wenye akili timamu tu
Si ndio maana tunasema ndoa ni kwaajili ua wanaume wenye akili tu!!Trust me bro, kuoa ni kuzuri, ila kupata mwanamke (mke) sahihi ndio ngumu. Kuna watu wanapata tabu, acha tu. Mke ni sehemu ya mali zako. Kama utakuwa na nyumba, gari na asset nyingine uongeze na mke sehemu ya hizo mali. Gari ikikusumbua ifanyie matengenezo. Nyumba iki crack fanya repairing. Mke akikusumbua control her feeling, thought na mahitaji yake.
Gari ikizidi kukusumbua uza. Isipouzika park. Mke akizidi kukusumbua ......aondoke tu. Japo inahitaji moyo kama mna watoto. Mara nyingi huwa wanatumia watoto kama kinga.
Nina ID moja tu nayo ni Liverpool VPNAaah nyie wapinga ndoa ndio mnatujiaga na ma-id yenu mengine kujipambanua eeh? Tumewastukia.
Hao wenye akili wanateseka balaa humo.Si ndio maana tunasema ndoa ni kwaajili ua wanaume wenye akili tu!!
Kwani mtasema sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fatilia nyuzi zangu UTANIELEWA tuu.Kwani mtasema sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Elewa kwanza, sio kila alieoa ana akili timamu, wengine ni wagonjwa wa akili na ndio kama huyo. Ila ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu, ukishajijua zimepungua we tulia tu uwe kama akina liverpool VPN.Hao wenye akili wanateseka balaa humo.
Umesikia yule mwimbaji wa injili from Nigeria kafa kwasababu ya kipigo ndani ya ndoa?
Aliolewa akidhani ni baraka kumbe kajipeleka kwa muuaji wake.
Hizo ndio ndoa.
#YNWA
Hapana, haina haja.Fatilia nyuzi zangu UTANIELEWA tuu.
#YNWA
Jenga hoja achana na PESSIMISM na PERSONAL ATTACK.Elewa kwanza, sio kila alieoa ana akili timamu, wengine ni wagonjwa wa akili na ndio kama huyo. Ila ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu, ukishajijua zimepungua we tulia tu uwe kama akina liverpool VPN.
Amechomwa na kitu chenye ncha kaliSikia hii habari