Na hizi ndio NDOA ZENU: Mwamba kashaangukiwa na chuma kizito

Ndoa inasiri kubwa sana huenda hata huyo sister wako yupo kwenye kuvumilia unadhani kunamwanandoa yupo tayari kukuonyesha jinsi anavyojua kutukana,kupigana, kushinda na njaa haya yote hujulikana baada ya maamuzi magumu ya mmojawapo kuamua either kuachana au kufanyiwa tukio but % kubwa ya ndoa za kiafrika hazina furaha kwasababu tunaoana sio kwa mapenzi ila Sababu mbadala
-anapesa
-anakazi Fulani
Kifupi tunaoana Ili kukomboana kiuchumi
 
huku kitaa kuna mwamba kakikbiwa na mke wake ,kabeba kila kituu ndani kahamia kwa bwana na kamuachia mtto wa miaka 7 ,walikua nawatoto wawili mmoja mdogo wa mgongoni kasepa nae ,jamaa kabaki na empty house na mtoto wake wa kiume mke kasepa , kuna mda hii kampeni inaingia akilini sana hasa nikiunganisha mtukio ya huku mtaani nnayo yaona ndoa za vijana ni matatizo na si salama kwa vijana wanao hustle na wataftaji, wanawake wana tamaa mnoo sjui shuda inakuaga nini,,ukiingia huko maofisini wake zawatu wanavyo dinywa mpaka unashangaa why!,,hawa watu shida inakuaaga ni nini kwani?
 
Humjui mjeda wetu wewe angekuwa na shida tungeleta shida anafuraha sana kwakweli .

Mume anamuheshimu wanaheshimiana.
Wakwe zakwe zake wanaheshima sana .
Watu wanahela za kawaida ila wanafuraha mume kazi yake ni anaduka la jumla sister ni sekretari katika shirika la serikali na analipwa kidogo sana.

Ila wanaopendana sana sana tu .
Mimi naona maelewano nijambo lenye maana katika ndoa .

Wewe unadhani utaoa kama unampendea mtu kitu na humjifunzi sister kasoma na huyu jamaa na mahusiano ya awali yalikuwa ni marafiki .
Ila walipoangalia wakaona haina haja ya kuwatafuta wenzi na wao wanaelewana wakaoana nakumbuka mjomba aliwaambia jambo kama mmependana na mnatakana na mnaelewana hili ni jambo la heri .

Wakaoana nakumbuka familia ya kijana walilipa mahari saivi sio duka moja analo anamaduka hadi ya hardwares 3 sasa kwa sababu wanaelewana na wanajua wanataka nini in life.

Kama hujui mwenza wako what she needs or what he needs ni mbaya sana.
Good day
 
Nashawishika kusupport hii movement yako ili kunusuru vifo vya mapema na magonjwa ambayo siyo ya kuambukiza wala kurithi.

Kuna ushahidi dhahiri hali ni mbaya wazazi sasa inabidi tuvunje ukimya.

Yani pata picha mama yenu ananipeleka puta halafu mtoto wangu naye kakimbilia ndoa anabulutwa kama jembe la plau, hivi hiyo familia mkikutana si ni kama mazezeta tupu baba na mtoto yamekutana?😄😄
 
Pamoja na hayo yote kuoa nijambo bora, kuwa single ni dalili ya kuogopa maisha
 
WANAWAKE WANAMPINGA MTOA MADA WANAOGOPA KUISHIA KUWA WASIMBE

KAMA WANAUME WOTE TUTAGOMA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39]
 
venossah

#YNWA
 
Kaazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…