Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
sweetlady hongera sana kwa besdei,imani yangu ni kuwa huu mwaka uliouanza leo uwe mwaka wa maridhiano,kusameheana na kufungua ukurasa mpya wa malavidavi na ndugu yangu nitonye........wakware kina Vin Diesel tupa kurrrrreeeeee hawana hadhi hata ya kufunga gedani za viatu vyako.
Cc Baba V, Judgement na Paloma....itifaki imezingatiwa.
hongera sweetlady kwa kuongeza miaka mingine ya kuishi hapa duniani Mungu akupe afya njema na uwe na siku njema leo na hata milele pokea kazawadi haka :A S-key::A S-key: ni ufunguo wa maisha mapya kwako na uone nuru ya mwangaza katika kial ufanyalo :A S-coffee: natangaza vita na wale wanakunyemelea kuharibu maisha yako :director:

happy birthday my cousin
pokea keki ndogo hiiView attachment 115984
hongera sweetlady kwa kuongeza miaka mingine ya kuishi hapa duniani Mungu akupe afya njema na uwe na siku njema leo na hata milele pokea kazawadi haka :A S-key::A S-key: ni ufunguo wa maisha mapya kwako na uone nuru ya mwangaza katika kial ufanyalo :A S-coffee: natangaza vita na wale wanakunyemelea kuharibu maisha yako :director:
nitonye amekwama kwa Arabela big time..sweetlady hongera sana kwa besdei,imani yangu ni kuwa huu mwaka uliouanza leo uwe mwaka wa maridhiano,kusameheana na kufungua ukurasa mpya wa malavidavi na ndugu yangu nitonye........wakware kina Vin Diesel tupa kurrrrreeeeee hawana hadhi hata ya kufunga gedani za viatu vyako.
Cc Baba V, Judgement na Paloma....itifaki imezingatiwa.
kwa niaba yake nasema EIMEEEN!