*Na KiLa MmOjA AsEmE 'AMEEN'* ~*HAPPY BIRTHDAY SWEETLADY*~



Wishing my friend a beautiful day
Hopes and dreams I'm sending your way
May all be good and all come true
On this very special day for you!

HAPPY BIRTHDAY sweetlady
 
Last edited by a moderator:

Afu mkuu mbona unafanana sana sura na EMT? Au mna udugu?
 
Last edited by a moderator:
hepi besidei sweetlady. mungu akupe maisha marefu zaidi yenye amani na baraka.
 
Last edited by a moderator:
nimefurahi kuipenda bestito kwani ilinichukua masaa 7 kuiandaa hiyo keki na
huku MUUZA SURA alikuwa hataki nitengeneze hiyo keki eti alisema kuwa
mambo ya birthday ni ushamba wa ki-upcountry niachane nayo, nilimkodolea
mimacho mithili ya kobe kama hiivi :faint2::faint2::faint2: huku nikimshangaa sana :shocked:
nimeipenda hii keki cousin, natumai cousin wetu sweetlady ataifurahia
 
wow!!! ingekuwa ya kwangu hiii :tinfoil3::tinfoil3::tinfoil3:
:focus:


Wishing my friend a beautiful day
Hopes and dreams I'm sending your way
May all be good and all come true
On this very special day for you!

HAPPY BIRTHDAY sweetlady
 
Reactions: BAK
sweetlady happy birthday aise
nakukumbuka sana maana tulikuwa tunaimba kwaya pamoja ila ukaniacha mlimani wewe ukarudi mjini
Mwenyezi Mungu akuongezee maisha marefu uone mika ya heri na baraka
happy birthday
 
Last edited by a moderator:

thank you cousin, tunakupenda pia... Na tumekuandalia bonge la zawadi mimi, dady watu8 Erickb52, Arushaone na ladyfurahia...... Ni zawadi pekee ya 'UPENDO' kutoka kwetu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…