*Na KiLa MmOjA AsEmE 'AMEEN'* ~*HAPPY BIRTHDAY SWEETLADY*~


hahahaaa...... Huyo Muuza Sura hajui kuwa utamu wa birthday ni keki?
 
Last edited by a moderator:

Amen, samahani keki wapi?
 
Last edited by a moderator:
Ujue toka jana tunabishana na baba kipenzi watu8 alitaka kunifanyia party nikamkataza lol... Nmeshangaa kukuta wewe umeandaa sherehe kubwa! More than thanks my dear! Mungu akubariki zaidi ya sana!

From Dady & Mom, tumekuandalia party itayofanyika nyumbani:

Dada yako charminglady, Aunt zako Mrembo by Nature na Husninyo ndio wamepamba hiyo welcome note. Pia mom measkron amekuandalia keki nzuri.

 
Last edited by a moderator:
my cousin si nimejishaua kwenda kuanika kanga kule siasani
yaliyonikuta nusura niharishe ofisini yaani
nimekuwa very :A S-confused1::A S-confused1:doubledouble
acha nipunguze stress huku heee!
 
my cousin si nimejishaua kwenda kuanika kanga kule siasani
yaliyonikuta nusura niharishe ofisini yaani
nimekuwa very :A S-confused1::A S-confused1:doubledouble
acha nipunguze stress huku heee!

aisee pole sana, mie wala sigusi kule huwa napiga chabo nakutoka, watu kule wamejaa stress balaa, hebu nishike mkono nikaone jinsi ulivyorushiwa mawe
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…