*Na KiLa MmOjA AsEmE 'AMEEN'* ~*HAPPY BIRTHDAY SWEETLADY*~

Happy Birthday sweetlady Mungu akupe maisha marefuuuuu km apendavyo...sema ameeen! Lady doctor najiona mitaa ya Lake Hill Hotel
aisee...... nimeona kimya kingi nikajua mpango umekufa, ngoja basi nifanye makaratee ya kuruka geti halafu nitakuvutia waya muda si mrefu, sawa!?
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor my dia, thanks again!... Nimeshindwa kushiriki vema nilikuwa safarini, huko kuna milima lol... Netwrk ya mawazo, mpaka upande jui ya mti ndio uipate na kama ujuavyo binamu yako ndio nimezaliwa leo ntawezaje kupanda juu ya mti???.. .. Hapa niko kwa mwenyekiti wa mtaa ndio angalau netwrk haisumbui... Nashukuru na Mungu akubariki sana! Sasa ngoja nijimwage lol
 
Last edited by a moderator:

usijali mpenzi ila halahala usije anguka huko juu ya miti lol!

Haya jimwage mwanawane, siku yenyewe hii kwa mwaka mara moja.
 
Last edited by a moderator:


Ni dhambi kumfanyia malaika wa Mungu majungu, Bishanga mie nimezaliwa leo, hao uliowataja nawajulia wapi???
Nashukuru sana kwa wishes rafiki kipenzi, karibu tusherehekee pamoja ila uje na kinywaji chako!
 
Last edited by a moderator:
usijali mpenzi ila halahala usije anguka huko juu ya miti lol!

Haya jimwage mwanawane, siku yenyewe hii kwa mwaka mara moja.

Ha ha ha ha... Hapa sianguki dia, mwenyekiti kanifunga kwa kamba kiunoni lol... Ntakuja chemba baadae ngoja nitoe shukrani kwa wageni wa alikwa!
 


More than thanks Mungi.... Ubarikiwe sana
 
Last edited by a moderator:


Nashukuru sana Block City... Ubarikiwe sana!!!!.... Mwaaaaaaaaaaaaah

Wanaoninyemelea mpaka sasa hivi ni Bishanga na Filipo
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtoto nilimkosakosa sana!
Anyway hepi besdey bibie!


Afu wewe ! Kumbe ni wewe ulinikosakosa na mkokoteni juzi maeneo ya soko kuu!.. Daah...

Nashukuru sana kamanda Filipo, karibu tufurahi pamoja! Uje na vitu vyako vya kula... Na ndyofu ujibebee kabisaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…