*Na KiLa MmOjA AsEmE 'AMEEN'* ~*HAPPY BIRTHDAY SWEETLADY*~

hahahahahhahahaaaaaaaaaaa binamu yangu leo niko vizuri kwani dawa aliyoniandalia Lady doctor imenitibu kabisa ila imebaki kubanja banja tu
 
Last edited by a moderator:
Happybirth day sweetlady, Mungu akupe maisha marefu! nitakuletea machungwa Lady doctor mimi uliniacha wakat unawakumbusha member vibaya.
 
Last edited by a moderator:
Thanks God tumefika salama kabsaaa
Salamu kwa Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Hihihiiiii
Mwaaaaah
 
we nawe tatizo loya anakufungia sana, ila kuna kiporo cha keki nimekufichia pacha njoo uchukue

Loya kamanda Ruttashobolwa yuko server room (BAN) mpaka arudi itakuwa labda mwakani honey. Mwacheni apumzike kwanza, kazi ya kuwavua fisiem magamba ina gharama zake.

COPY: Passion Lady.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…