Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kwa uthibitisho upi kwamba hao waliopo Israeli siyo Waisraeli halisi?Na hao unaodhani ni halisi wako wapi?Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale.
Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi, mchezo wa kitoto sana huu, basi tu kwa kuwa mungu wao marekani ana hela ila natamani leo kesho wasambaratike
Shida ni moja kuhusu Wapalestina wamejinasibisha wao wapo upande wa Uarabuni na Uislamu, ninafahamu Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi alawakbalu ni nyingi sana kuliko diplomasia na mataifa ya ulimwengu
Ila Israeli siipendi jamani daah
Those Zionists who identified themselves as Jews are impostors ...Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale.
Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi, mchezo wa kitoto sana huu, basi tu kwa kuwa mungu wao marekani ana hela ila natamani leo kesho wasambaratike
Shida ni moja kuhusu Wapalestina wamejinasibisha wao wapo upande wa Uarabuni na Uislamu, ninafahamu Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi alawakbalu ni nyingi sana kuliko diplomasia na mataifa ya ulimwengu
Ila Israeli siipendi jamani daah
Mnanipa homework tena? Haya sawaKwa vile wewe Mrundi tumekupa uraia, na kama ulienda US na kutotoa vifaranga
Pitia hiki kifungu cha sheria ya uraia
Sheria ya Uraia Sura ya 357 ya mwaka 1995 (R.E, 2002)
Mbona wewe unawachukia Ukraine??Huogopi kumchukia mtu ambaye hata hujawahi kukutana naye?
Ubaya wa mtu mmoja au wachache kamwe usikufanye uwachukie wasiohusika.
Israeli wana sababu zao za msingi, Wapalestina nao. Kitu cha msingi tuwatakie amani.
Hizi ni porojo tu, huwezi kutengeneza lugha kama vile unatengeneza sambusa, wewe huoni Kingereza ambacho kipi tayari tayari kinatupa shida hivyo ndio itakuwa utengeneze lugha mpya kabisaKihebrania wanachozungumza hao leo huko israel; kimetengenezwa upya kupitia Zionists project waliyoiita "kurevive Hebrew Language" miaka tu ya hivi karibuni. Walitumia Kiarabu kutengeneza upya hiyo lugha kwa kuwa wanaamini Kiarabu ni lugha iliyo close na Kihebrania. Kihebrania halisi walichozungumza Daudi na Suleiman siyo hiki cha leo. Kilipotea waliposambaa dunia nzima, ila walibaki na maneno machache ya hapa na pale.
unaweza kupata maelezo zaidi hapa:
Hebrew wasn’t spoken for 2,000 years. Here’s how it was revived.
The religious language that lay dormant for millennia is now global, used by millions of people around the world—including in China.www.nationalgeographic.com
Hizi ni porojo tu, huwezi kutengeneza lugha kama vile unatengeneza sambusa, wewe huoni Kingereza ambacho kipi tayari tayari kinatupa shida hivyo ndio itakuwa utengeneze lugha mpya kabisa
Mtandaoni kumejaa takataka za kila aina, unaposoma jambo unatakiwa uchanganye na za kwako. Kama umefanikiwa kufika kidato cha kwanza naamini utakuwa ulifundishwa "lugha ni nini"Kama jambo hulijui uliza!. Mbona hilini jambo linalojulikana!
Kwa kukusaidia tu tazama
View: https://www.youtube.com/watch?v=HBiiad9fO-g&ab_channel=Unpacked
Uipende usiipende taifa la Israel halipo pale kwa matamania ya mwanadamu au shetani.Hivyo kuichukia kwako hakubadilishi chochote kuhusu hatma ya taifa la Israel. Israel ni mpango kamili wa Mungu na ndiyo maana kwenye biblia walioiandika kwa zaidi ya asilimia 99% ni wayahudi.Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale.
Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi, mchezo wa kitoto sana huu, basi tu kwa kuwa mungu wao marekani ana hela ila natamani leo kesho wasambaratike
Shida ni moja kuhusu Wapalestina wamejinasibisha wao wapo upande wa Uarabuni na Uislamu, ninafahamu Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi alawakbalu ni nyingi sana kuliko diplomasia na mataifa ya ulimwengu
Ila Israeli siipendi jamani daah
Hata wewe unahoji ukiwa mtandaoniMtandaoni kumejaa takataka za kila aina, unaposoma jambo unatakiwa uchanganye na za kwako. Kama umefanikiwa kufika kidato cha kwanza naamini utakuwa ulifundishwa "lugha ni nini"
wewe ni shetani na umejawa na shetani, kwasababu siku zote shetani ameichukia Israel. Pia, haujawahi kuisoma biblia, kama ni mkristo basi wa dini, ila sio wa kweli.Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale.
Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi, mchezo wa kitoto sana huu, basi tu kwa kuwa mungu wao marekani ana hela ila natamani leo kesho wasambaratike
Shida ni moja kuhusu Wapalestina wamejinasibisha wao wapo upande wa Uarabuni na Uislamu, ninafahamu Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi alawakbalu ni nyingi sana kuliko diplomasia na mataifa ya ulimwengu
Ila Israeli siipendi jamani daah
Wako wap hao wa israel wenye huo uweusiWaisrael wamelaaniwa hawawezi kukaa katika ardhi kwa amani, na kwa mujibu wa maelezo ya kitafiti ni kuwa waisrael wanauweusi flani hiviii sio pure white kama kina netanyahu.
Ila itachukua muda mrefu sana kwa wakristo wafuata upepo (mfano wako) kuufahamu ukweli!!!!
Shekh, kale nguruwe na maji mengi moyo utulie.Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale.
Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi, mchezo wa kitoto sana huu, basi tu kwa kuwa mungu wao marekani ana hela ila natamani leo kesho wasambaratike
Shida ni moja kuhusu Wapalestina wamejinasibisha wao wapo upande wa Uarabuni na Uislamu, ninafahamu Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi alawakbalu ni nyingi sana kuliko diplomasia na mataifa ya ulimwengu
Ila Israeli siipendi jamani daah
Palestine ni magaidi. Na netanyahu hana simile na magaidi.Idiotic buffoon
Can you prove this? bozo! ooohh labda lugha ngoja nioongee kimatumbi
Unaweza kuleta ushahidi wa huu upupu wako?
Hajialishi. Alimradi Netanyahu anapambana na magaidi yaliyoua ndugu zetu Joshua na Mollel, Mimi kama Mtanzania mzalendo namuunga mkonoKihebrania wanachozungumza hao leo huko israel; kimetengenezwa upya kupitia Zionists project waliyoiita "kurevive Hebrew Language" miaka tu ya hivi karibuni. Walitumia Kiarabu kutengeneza upya hiyo lugha kwa kuwa wanaamini Kiarabu ni lugha iliyo close na Kihebrania. Kihebrania halisi walichozungumza Daudi na Suleiman siyo hiki cha leo. Kilipotea waliposambaa dunia nzima, ila walibaki na maneno machache ya hapa na pale.
unaweza kupata maelezo zaidi hapa:
Hebrew wasn’t spoken for 2,000 years. Here’s how it was revived.
The religious language that lay dormant for millennia is now global, used by millions of people around the world—including in China.www.nationalgeographic.com
Hajialishi. Alimradi Netanyahu anapambana na magaidi yaliyoua ndugu zetu Joshua na Mollel, Mimi kama Mtanzania mzalendo namuunga mkonoNa wayahudi hao hao wanawaita nyie wakristu Wanaharamu na kila wanapokutana na wakristu huwatemea mate
Na hapo hapo ndugu zenu pia waethiopia weusi wananyanyapaliwa wakati mwingine kuuawa wakikutwa na mahusiano na wazawa wa kizayuniHajialishi. Alimradi Netanyahu anapambana na magaidi yaliyoua ndugu zetu Joshua na Mollel, Mimi kama Mtanzania mzalendo namuunga mkono