Na Ukristo wangu huu ninaichukia the so called Israel hadi natetemeka

Hamas wamekusikia
 
wewe ni shetani na umejawa na shetani, kwasababu siku zote shetani ameichukia Israel. Pia, haujawahi kuisoma biblia, kama ni mkristo basi wa dini, ila sio wa kweli.
Shetani humjua shetani mwenzie

Tena we dogo ndo huna lolote unalojua kuhusu biblia ni mihemko tu uliyonayo yaani wewe ni mweupe peeee

Kila thread nakutoa kapa kwahiyo hunisumbui
 
Ndo washapotea hivyo, walikuwa wapi kabla ya vita ya pili ya Dunia?

Yaani nyie ndo target ambazo marekani na uingereza walizilenga, walijuwa tu pale hata wangeweka mbuzi na kuwaita Israeli mngekubaliana nao tu kwa kuwa mnaendeshwa na mihemko ya kidini bila ya kureason
 
Those Zionists who identified themselves as Jews are impostors ...
..That state they have created with the help of the British is also a phony one....

So, it's normal for anyone with that little knowledge to feel like that.
Without even using a much energy this can be easily identified!
 
Wapaledtina wangekuwa wakristo safi wasingepigwa
Tatizo imani zao za kiislamu,

Eti wanaamini wakifa wapigana na mayahudi watapewa wanawake mabikira 72
Shida nyie waislamu na wakristu wote kwa pamoja kinachoendesha ni msukumo wa kidini, na kosa kubwa wapalestina walilolifanya ni kujinasibisha na uislamu taifa lote ilhali wapo wapalestina wakristu
 
Mm mtanzania nikienda USA, mtoto wangu akirudi Tz je huyo mtoto n uzao wa Tz au siyo?
Huko USA vizazi vingapi vimekaa? Mfano halisi ni huu wa USA uliosema Kuna weusi wengi Wana vinasaba na mataifa ya Nigeria, Ghana na Senegali je bado unawafanya wao kuwa raia wa mataifa hayo?
 
Shida ya muongo huwa hana kumbukumbu. Soma hii kauli yako na uangalie ulichokiandika mwanzo. Huoni aibu kujifanya kafiri, hivi waislamu wa JF mnaoshabikia mgogoro wa gaza mmekumbwa na nini? Mbona mmekuwa wa hovyo hivo?
Mimi ni mkristu wa kuzaliwa kuishi na kufa kwahiyo hiyo rejea ya na nafsi isikufanye ukatoka kwenye mantiki na lengo ni kukupa utimamu, hata Yesu alikuwa myahudi na aliwasema wayahudi kwa urejeo wa nafsi zao
 
Kama unataka vizaz elfu na elfu zilaaniwe endelea kujichanganya
 
"Dini za watu" akina nani? Wachaga?

Kusema Mimi mkristu ni kuwaonesha wakristu wenzangu sio wote wanaendeshwa na fikra jumuishi zisizo na mantiki...

Ni kama hapa ulivyokasirika kwa kuwa Israeli imeongelewa kwa kutopenda wewe, Ni kwanini umekasirika? Kwa sababu umuamvatanisha uisraeli na ukristu na wewe ni mkristu hivyo Israel ikiongelewa kinyume na fikra jumuishi unazoziishi unaumia, lakini kwa mkristu Mimi hiyo ni tofauti kwangu,πŸ˜‡
 
Kama unataka vizaz elfu na elfu zilaaniwe endelea kujichanganya
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unacheka laana zinatembezwa mbaya!
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya ukristo na israel wala palestina na uislam
 
Unacheka laana zinatembezwa mbaya!
Yerusalemu, Yerusalemu, muuaji wa manabii na ambaye huwapiga kwa mawe wale waliotumwa kwake . . . Tazama! Nyumba yenu mmeachiwa hali ya ukiwa.” (Mathayo 23:37, 38) Maneno ya Yesu yalitimizwa mwaka wa 70 W.K., wakati majeshi ya Roma yalipoharibu Yerusalemu pamoja na hekalu na ukuhani wake.
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya ukristo na israel wala palestina na uislam
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe katika hoja nyingi unazoziwasilisha,

Sasa kwa bahati mbaya waislamu na wakristu wasiokuwa na akili pia wamaejinyima maarifa wanashindwa kukubali huu ukweli na kukumbatia chuki za kijinga tu kwa miendesho ya kidini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…