Na Ukristo wangu huu ninaichukia the so called Israel hadi natetemeka

Hii issue sio ya ukristo wala uislamu, ya kuwa wakristo wotewatakuwa upande ule na waislamu wote upande huu, na sisemi wewe ni mkristo au muislamu

Ila nina kila sababu ya kusema hebu tuliza fuvu wewe kobazz ya ngoswe mwachie ngoswe
 
Wewe ni Mkristo usiyesoma Biblia kuhusu historia ya waisrael utakuwa Mkatoliki maana ndizo ambao Huwa hawasomi Biblia wanasomea Misale ya waumini tu
 
Akina mudi wa buza wakisikia nyumba yao itabomolewa wanafuraaaaa. lakini itabomolewa tu muda ukifika.
 
Again, mna-quote vitabu vya fantasies na kujiaminisha kuwa ni kweli. HAKUNA kitabu chochote kilichotungwa na Mungu si Torat, Biblia wala Quran, hivi vyote ni vitabu vilivyotungwa na binadamu huku kila moja akivutia kwake na sisi waafrika tusiojitambua tukibaki kuwa victims wa hizi dini za watu.
 
Kwa vile wewe Mrundi tumekupa uraia, na kama ulienda US na kutotoa vifaranga
Pitia hiki kifungu cha sheria ya uraia
Sheria ya Uraia Sura ya 357 ya mwaka 1995 (R.E, 2002)
sasa sheria zenu zinawahusu akina israel na palestina? Acheni kubishana hadi mnakosa ya kusema. wale watapigana hadi mwisho wa dunia 😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️.
 
Na nyie muwe mnafichaga uchi wa hii quran yenu ili tusiuone utupu wake ulivyo.
Wapi kunakosa hapo mmekalia ujinga tu sa we tupe dalili yako wapi Ibrahim, Ishaq, Yakobo walisema wao Wakristo au Wayahudi kwenye dini yao, kama unayo leta mimi nifate ukristo au uyahudi huna na hutapata andiko hilo.

Nataka dini usiniletee ujinga wa ohh mama yake Ishaq alikuwa Myahudi hio hata mimi najua alikuwa Myahudi nataka dini yake alikuwa dini gani??
 
Wewe umeshawahi tengeneza lugha ngapi?
 
Tutolee ujinga hapa nani kasema Mungu kaviandika, alikuwa anashuka Gabrieli anafikisha ujumbe kwa kila Mtume aliye kuja na kitabu chake.

Taurati Nabii Mussa

Injili Yesu

Zaburi Nabii Daudi

Qur'an Nabii Muhammad.
 
Kuna madai kadhaa katika thread yako ambayo yanaweza kutazamwa kwa mtazamo wa ukweli na uongo.

Dai la Kwanza: "Wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli"

Ukweli: Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Wayahudi wengi kutoka Ulaya walihamia Israeli, wakijenga taifa la Israeli ambalo lilianzishwa rasmi mwaka 1948.

Uongo: Kusema kuwa Waisraeli wote ni wazungu kutoka Ulaya ni kupotosha. Waisraeli wanatoka sehemu mbalimbali za dunia, ikiwa ni pamoja na Mashariki ya Kati, Afrika, na Asia, na wanahusiana na urithi wa Wayahudi wa kale.

Dai la Pili: "Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi"

Ukweli: Wayahudi wamekuwa na uhusiano wa kihistoria na kidini na ardhi ya Israeli kwa maelfu ya miaka, na lugha ya Kiebrania na tamaduni za Kiyahudi zina mizizi ya kina katika eneo hilo.

Uongo: Kudai kuwa wanajinasibu tu kwa sababu wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za Kiyahudi si sahihi. Hizi ni sehemu ya utambulisho wao wa kidini na kihistoria.

Dai la Tatu: "Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi"

Ukweli: Kuna Wakristo katika Palestina na Israeli, lakini idadi yao ni ndogo ukilinganisha na Waislamu na Wayahudi.

Uongo: Kudai kuwa Palestina ina Wakristo wengi kuliko Israeli ni kupotosha, kwani idadi ya Wakristo ni ndogo katika pande zote mbili. Kote wakristo wanahesabika kama tabaka la pili.
 
Tutolee ujinga hapa nani kasema Mungu kaviandika, alikuwa anashuka Gabrieli anafikisha ujumbe kwa kila Mtume aliye kuja na kitabu chake.

Taurati Nabii Mussa

Injili Yesu

Zaburi Nabii Daudi

Qur'an Nabii Muhammad.
Hawa wote si manabii, ni watu waliopachikwa vyeo wasivyostahili.
 
Sijaona ulichotofautisha hapo
 
Wewe ni Mkristo usiyesoma Biblia kuhusu historia ya waisrael utakuwa Mkatoliki maana ndizo ambao Huwa hawasomi Biblia wanasomea Misale ya waumini tu
Hiyo biblia unayosoma wewe ndiyo ilikuambia ikifika mwaka 1947 wazungu kutoka ulaya watawaua wapalestina na kuwanyang'anya ardhi yao halafu wajiite waisraeli?
 
Walifanyalo hawa jamaa wa Ulaya Mashariki si geni kujifanya wao ni Wayahudi, mbona hata hapa Tanzania kuna Wakristo kibao wanajihesabia wao kuwa ni Waisrael, labda Mkristo wewe tu uko tofauti.
Halafu mbuzi moja inaniambia eti sijui biblia na nitakuwa mkatoliki kwa kuwa tu nimekinzana na mawazo yao mgando

Na ukweli ndiyo Mimi ni mkatoliki
 
Mleta mada ulitaka kuandika nini hasa?
Maana kichwa cha habari na ulichoandika ni tofauti kabisa!
Tuliza akili mkuu usiwe unakurupuka kama uharo!
 
Pengine ni kweli ila chanzo cha yote ni huyu mpuuzi Israel
Israel wanafanya sawa, wanasahihisha makosa ya kihistoria yaliywafanya kwenda uhamishoni. Kwa sasa wanarudisha kilicho chao.
 
Mungu wa Israel anaitwa
''BWANA WA VITA''
Ndilo jina lake na ameapa kuwapigania Israel milele.

Kwa mkristo asiyeitakia amani Israel bado hajui

Kuna wimbi la''wakristo koko" mitandaoni hasa jf, wanajiita Wakirsto hali sio.
Wanaibua na kuleta mijadara mbalimbali kwa lengo la kuupinga ukristo, jihadharini nao hao ndugu zangu wana jiefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…