Na Ukristo wangu huu ninaichukia the so called Israel hadi natetemeka


Israeli si Taifa ni watu
 

Ulisoma biblia ipi inayosema Mungu atawapigania waisraeli ? kwani lini ilianza hiyo nchi ya Israeli ??
 
Israel wanafanya sawa, wanasahihisha makosa ya kihistoria yaliywafanya kwenda uhamishoni. Kwa sasa wanarudisha kilicho chao.
Katika mambo ambayo marekani na uingereza wamefanikiwa ni kuifumba Dunia juu ya hawa waisraeli bandia
 
Unafikiri jamii ambayo ni kubwa inaweza kutoweka kirahisi hivyo mkuu?. Kama vita tu ya Hitler aliwauwa zaidi ya milioni sita miaka 80 tu iliyopita. Je nirahisi kizazi kitpotee kwa Miaka michache hivyo?
 
Kwa hili tu ungekua na akili usingeandika hii post, kwa uelewa wako afu unakuja kutuaminisha. Jibu maswali uliyoulizwa wanaisrael wamepotelea wapi?
 
Mkristo yeyoye anayeichukia Israel amelaaniwa,kanisa lolote linaloichukia Israel nalo limelaaniwa.
Biblia iko wazi sana,Israel ni ardhi ya Mungu,kile ndio kiwanja chake hapa duniani,Israel wamewekwa pale wakilimde tu na kukitunza.Wakati wa uyawala wa miala 1000 duniani, Bwana atakaa Israel,na mataifa yote yatakuwa yakienda pale kumwabudu.
Huo ndo ukweli,kama ukichulia na wewe unajiita Mkristo,hilo ni tatizo lako.
 
Huna ukristo wowote wewe, wewe ni maalimu wa msikiti wa Manzese
 
Unafikiri jamii ambayo ni kubwa inaweza kutoweka kirahisi hivyo mkuu?. Kama vita tu ya Hitler aliwauwa zaidi ya milioni sita miaka 80 tu iliyopita. Je nirahisi kizazi kitpotee kwa Miaka michache hivyo?
Hizo ni assumptions tu kwamba watu wakiamua kuchukulia jamii fulani wajiite Israel lakini ukweli ni Israel doesn't exist
 
Bado watu wengi hawana ufahamu kuhusu Arabs, Islam, Israel, Palestine, Iran, Russia, world wars, Saudis, Christianity, China, hii ndio kete ambayo wazungu wanatumia kutawala Dunia.
Mmoja kati ya watu 20000 ndiyo ana ufahamu huu
 
Bado watu wengi hawana ufahamu kuhusu Arabs, Islam, Israel, Palestine, Iran, Russia, world wars, Saudis, Christianity, China, hii ndio kete ambayo wazungu wanatumia kutawala Dunia.
Mmoja kati ya watu 20000 ndiyo ana ufahamu huu
 
Yerusalemu, Yerusalemu, muuaji wa manabii na ambaye huwapiga kwa mawe wale waliotumwa kwake . . . Tazama! Nyumba yenu mmeachiwa hali ya ukiwa.” (Mathayo 23:37, 38)

Maneno ya Yesu yalitimizwa mwaka wa 70 W.K., wakati majeshi ya Roma yalipoharibu Yerusalemu pamoja na hekalu na ukuhani wake.
 
Wewe mtu ujaribugi kujielimisha. Waislamu wakiongozwa na waarabu wao ni mabigwa wa propaganda za uongo, inaitwa Taqqya kama haujui. Israel ni Democracy ambapo kila jamii na watu wa dini yeyote wanakubaliwa kuishi. Wapo Waislamu waarabu, wapo Bedouin wapo Druze na wapo wasioabudu mungu (atheists). Idadi ya wakristo israel imekuwa ikiongezeka mpaka sasa hivi inafika kama laki 3.
Upande wa pili kule palestine manyanyaso kwa wakristo yamefanya jamii hiyo iendelee kupungua. West bank population ni 3 mil na wakristo ni kama 60,000. Kule Gaza population ni about 2mil, wakati wakristo ni chini ya 1 000.
Ile nchi ilikuwa ya Wayahudi; lakini hatuwezi pingana na matokeo ya historia ya mwanadamu hivyo kwa sasa inakubalika iwe nchi ya wayahudi, wakristo, waislamu, mabedouin na Druze. Jiulize iwapo israel ina waislam wapatao milioni 3, je kuna myahudi yeyote huko kwa Wapalestina? Jibu ni Zero. Hata nchi za kiarabu kama syria, yemeni, saudia na kwingine waliwafukuza wayahudi. Waisrael nyakati zote kuanzia miaka kabla ya 1948 lilipoundwa Taifa la sasa la Israel wayahudi walikubali kuishi na Waislamu lakini Waislamu wakakataa. Wewe unajua kuwa Mufti wa Jerusalem alimtembelea Hitler na Wakakubaliana kuwa wawafutilie mbali wayahudi pale israel? Ndg. Nyuma ya pazia ya hiyo vita wanayopigana Wapalestina dhidi ya waisrael ni chuki za uislamu dhidi ya wayahudi, ambapo hawaishii hapo wanauendeleza chuki hiyo hata kwa wewe mkristo. Zinduka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…