Na usomi wangu huu nibebe zege kweli? Hapana, nashusha brand

Ili uwe na uhuru wa maisha tafuta kazi,vinginevyo utauza utu wako kwa kipande cha mkate
 
Hakuna kazi ya kishamba wewe ndo mshamba na usomi wako
 
Acha hasira we mbeba zege
Niwe na hasira ya nini wakati tayari nina ajira ya kubeba zege inayoniingizia kipato. Naendesha maisha yangu fresh tu kwa zege hili hili ambalo wewe hutaki/huwezi kubeba kwa kuwa ni msomi. Wewe endelea kulinda brand.
 
Unaeza usibebe zege ila ukanunua vifaa vya zege na ukawa unakodisha ,
 
Njaa itakutia upepo wa adabu
 
Dah , Watoto dizaini hizi nawajua, mko radhi mfanye ....ili kulinda brand, take care kijana,
 
Usiposhushwa brand na hilo zege, NJAA ITAKUSHUSHA BRAND, TENA KWA AIBU HUKU UKIWA UMECHOKA MBAYAA SANAAA..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…