Na usomi wangu huu nibebe zege kweli? Hapana, nashusha brand

Zege au VETA chagua ww tu
KAZI ni kipimo cha utu
 
Sawa si umezaliwa kwenye familia mboga saba, kwahiyo unaona wabeba zege ni washamba ila ni suala la muda tu
 
Hao unaowaita wewe wwadau Mimi kwangy ni ng'ombe tu wakiniponda nitapungukiwa Nini mzee Kila mtu na life lake duniani hapa mzee wewe wakuja nini unashangaa kupondwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…