Naaaam tazama hapa ; kumbe kudanga ni dili sana bongo

Naaaam tazama hapa ; kumbe kudanga ni dili sana bongo

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
5,189
Reaction score
6,506
Screenshot_20250531-194905.jpg

Along his wife. Aseeeeee KUDANGA mixer. Bongoland

Agiza bia hapo nakuja lipia.......πŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Hamisa ni smart woman.

First born kazaa na high value man

Second born kazaa na high value man mwingine.

Then kaolewa na high value man mwingine.

Kuna mabinti wazuri kuliko hamisa, wana elimu kuliko hamisa, na bikira zao wanazo ila hawana ujanja wa kupata wanaume kama wa hamisa, wanaishia kutiwa mimba na wahuni tu na wanatelekezwa
 
Wana chapwa na kuchapika na masela mavi ...ila hapo kwenye bikra Huwa hazipo TENA after 16 years mzee.....SIKU HIZI watoto mabinti wa miaka 14 wanatom..be...ka na hata umri wa 14 aseeeee

FRESHMAN
 
Ukianza na mleta mada
Tuna amsha popo ki sport sport sport , ki football ki football ki football ki football mzeee

Hii inaitwa changamsha. JukwaaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚

Jobless_Billionaire
 
Inashangaza kuna baadhi ya wanaume wanatamani wangekuwa hamisa, lol.
Sema. Jamaa anamwagia pazuri......hivi kwanini yeye kaachiwa ma yanga sc afuuu yule. Mbongo mwenzetu wa pale yanga sc aliyekuwa anahitajika wydad , Bado anawekewa ngumu.....

Mla Bata
 
Back
Top Bottom