Naaaam tazama hapa ; kumbe kudanga ni dili sana bongo

Naaaam tazama hapa ; kumbe kudanga ni dili sana bongo

Wandugu katika jukwaa jumapili njema bana , na. log off muda huu maana na BIASHARA zinginezo.....
 
Sometimes kutambua mtu apa jukwaani ni kuangalia username yake tuu kama Ina lenga lenga ila dah weeee ni mgumu kukujua jinsia yako.... Au ndo ni tag in specified
Mkuu maisha ni mafupi enjoy the muda wako
 
Yesuuuuu kumbe ndo zile zenye MAJI mengiiiiiii ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿคฃ
Mbichi sana
 
Hamisa ni smart woman.

First born kazaa na high value man

Second born kazaa na high value man mwingine.

Then kaolewa na high value man mwingine.


Kuna mabinti wazuri kuliko hamisa, wana elimu kuliko hamisa, na bikira zao wanazo ila hawana ujanja wa kupata wanaume kama wa hamisa, wanaishia kutiwa mimba na wahuni tu na wanatelekezwa
Udalali wa kingono uitwao ukuwadi umembeba pia.KUFA KUFAANA.
 
Hamisa ni smart woman.

First born kazaa na high value man

Second born kazaa na high value man mwingine.

Then kaolewa na high value man mwingine.


Kuna mabinti wazuri kuliko hamisa, wana elimu kuliko hamisa, na bikira zao wanazo ila hawana ujanja wa kupata wanaume kama wa hamisa, wanaishia kutiwa mimba na wahuni tu na wanatelekezwa
Kwaiyo usmart wa mwanamke unakua determined kwa kuzalishwa hovyo hovyo na hao unawahita high valued men?.

Kuzaa na wanaume tofauti kwa kigezo cha hela unafikiri inapeleka impact gani kwa mabinti wadogo?
 
View attachment 3352199

Along his wife. Aseeeeee KUDANGA mixer. Bongoland

Agiza bia hapo nakuja lipia.......๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ
Uncle kama una jinsia ya kiume, basi ukubali tu unatudhalilisha wanaume wenzako.
 
Back
Top Bottom