Naaaam tazama hapa ; kumbe kudanga ni dili sana bongo

Naaaam tazama hapa ; kumbe kudanga ni dili sana bongo

Wanawake Malaya ndio wanaweza sana ku care vizuri sisi!!huo ndio ukweli mchungu kwetu!!

Hawa wafia dini wasomi Hawa plus feminist ni uwanja wa mapambano plus kushindana Kwa home!!

Makahaba Wana care acheni kabisa !wanastahili mapato huo ndio ukweli!!

Unajitoa for so called Wacha mungu,wife material then unaambulia mashindano plus kudhalilishwa kana kwamba hukufanya kitu kumbe ulimtoa kwao Hana ramani ukamuweka kwenye njia Leo anakuona kama MSENGE FULANI HIVI USIEJIELEWA Sasa jichanganye umnase vibao sim zitapigwa Hadi Kwa samiah na vitisho utapewa kama mhaini!!

Mungu wabariki Malaya japo wanatukwangua sana pesa lakini they know people and suffer for them!!
 
View attachment 3352199

Along his wife. Aseeeeee KUDANGA mixer. Bongoland

Agiza bia hapo nakuja lipia.......🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
Maisha ni kujiposition,Hamisa kashaona fursa kaiwahi mapema wengine mkae kwa kutulia
 
View attachment 3352199

Along his wife. Aseeeeee KUDANGA mixer. Bongoland

Agiza bia hapo nakuja lipia.......🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
Kitita cha us$40k ni kama Tsh100m kwa mwezi
 
Wanawake Malaya ndio wanaweza sana ku care vizuri sisi!!huo ndio ukweli mchungu kwetu!!

Hawa wafia dini wasomi Hawa plus feminist ni uwanja wa mapambano plus kushindana Kwa home!!

Makahaba Wana care acheni kabisa !wanastahili mapato huo ndio ukweli!!

Unajitoa for so called Wacha mungu,wife material then unaambulia mashindano plus kudhalilishwa kana kwamba hukufanya kitu kumbe ulimtoa kwao Hana ramani ukamuweka kwenye njia Leo anakuona kama MSENGE FULANI HIVI USIEJIELEWA Sasa jichanganye umnase vibao sim zitapigwa Hadi Kwa samiah na vitisho utapewa kama mhaini!!

Mungu wabariki Malaya japo wanatukwangua sana pesa lakini they know people and suffer for them!!
Yeah. Hii ni kweli bro........






RESILIENT KATO
 
Maisha ni kujiposition,Hamisa kashaona fursa kaiwahi mapema wengine make kwa kutulia
Yeah sure ndugu kaji position ,, hapo kwa sehemu hakika ......



Hongera kwake ila asahau yaliyopita na usichana wake.......🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾




Gusa achia twende kwako
 
Sema. Jamaa anamwagia pazuri......hivi kwanini yeye kaachiwa ma yanga sc afuuu yule. Mbongo mwenzetu wa pale yanga sc aliyekuwa anahitajika wydad , Bado anawekewa ngumu.....



Mla Bata
Mkuu, mimi si mtaalamu wa mambo ya soka hasa hili la nyumbani bongo, Ila naweza sema wananchi (Young Africans) waliangalia mbali zaidi, Aziz Ki licha ya kiwango chake bora lakini umri wake ushamtupa mkono kukataa deal la pesa nyingi kwa mchezaji wa namna hiyo ni risk kubwa sababu hujui baada ya msimu Kama ataendelea kuwa na performance ya namna hiyo huku umri ukiwa umeenda, hawajataka kurisk wakati Kuna ofa nono mbele yao, so I guess it's a right move for them, unlike A young Tanzanian (jina lake limenitoka) he is growing fine as wine days and days he becomes a big deal wamelenga profit kubwa zaidi kwa siku za usoni, waelewa zaidi watakuja kujazia nyama.
 
Hii inaitwa HAMSHA POPOOOOOOOOOOOOOOOOOO. KI SPORT SPORT ..

KI FOOTBALL FOOTBALL....
 
Back
Top Bottom