Naaaam tazama hapa ; kumbe kudanga ni dili sana bongo

Sema main point hapa ni umri wa ki...umeenda.....ndo maana akaachiwa..



Then ya pili ni profit maana walimnunua less than hiyo then Wanamuuza more than 100%.



My point.: TRUST /UAMINIFU TOKA KWA AFRICAN FOOTBAL FAMILY ( CLUBS , NATIONS , INDIVIDUAL , CORPORATIONS )
KWA kuongezea pale yanga sc na hersi wake wamepata mgodi wa uaminifu kisoka hapa afrika aseeeeeee VILABU VINGI LAZIMA vitilie mkazo kuangalia potential iliyopo pale ,, na inayokuja pale...yanga sc .

Likely TIME factor nayo Ina matter zaidi.....HUYO mwanetu anaweza uzwa (ki football ni kununua talent ya mchezaji). Hata zaidi ya 10B in Tshs , even after few years to come na yanga wakiona ofa hiyo hawawezi pepesa macho.....



Mla Bata
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weeee cocastic Lete vidole vyako hapa......😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑
 
Kwa hiyo wakati Mama yako anaolewa na Baba yako na kufanya mambo pamoja Mama yako alikuwa ana Danga ? Let them be, mtu Kapenda, Kalipa mahari, anaishi na mke wake, kudanga ni wapi?
 
Kwa hiyo wakati Mama yako anaolewa na Baba yako na kufanya mambo pamoja Mama yako alikuwa ana Danga ? Let them be, mtu Kapenda, Kalipa mahari, anaishi na mke wake, kudanga ni wapi?
Dogo ...mbona unakasirika dogo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…