Naaaam tazama hapa ; kumbe kudanga ni dili sana bongo

Huyo mwanamke uliyenaye unajua kapita na wangap? Au kwakua hamisa anajulikana mnamwita mdangaj
Na kifukuzia kibinti cha 2005 ndugu kibichi hatariiii bado kilomita zinasoma chini ya MITA 20 aseeeee
 
Wahuni wanasema katoa sana
Mimba 😁
 
Bila kusahau alishadanga mpaka kwa Rick Ross
 
Acha kumuonea wivu Hamisa.
 
Unaweza kuhisi umeongea point ila ukweli ni kinyume chake. So kama hamisa ni smart kwa hili then una maanisha kuanzia sasa wazazi waanze kuwatengeneza mabinti zao kuwa wadangaji,malaya,na wauza K mradi tu watafute wanaume wenye pesa wa kuwatunza?

Then what is next,watoto wao wa kiume nao watafute wanawake wenye pesa au waanze kuuza unga na dawa za kulevya ili kuweza kujikimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…