Nikutakie jumapili njema.
Astaghafirurah!!!!!Inashangaza kuona baadhi ya wanaume wanatamani wangekuwa hamisa, lol.
mwenyewe nimesikitika mnoInashangaza kuona baadhi ya wanaume wanatamani wangekuwa hamisa, lol.
Bas sawaaPale kwenye keyboard ndugu tupate hela
Mkuu maisha ni mafupi enjoy the muda wakoSometimes kutambua mtu apa jukwaani ni kuangalia username yake tuu kama Ina lenga lenga ila dah weeee ni mgumu kukujua jinsia yako.... Au ndo ni tag in specified
Mbichi sanaYesuuuuu kumbe ndo zile zenye MAJI mengiiiiiii πππππππππππππππ€£
Udalali wa kingono uitwao ukuwadi umembeba pia.KUFA KUFAANA.Hamisa ni smart woman.
First born kazaa na high value man
Second born kazaa na high value man mwingine.
Then kaolewa na high value man mwingine.
Kuna mabinti wazuri kuliko hamisa, wana elimu kuliko hamisa, na bikira zao wanazo ila hawana ujanja wa kupata wanaume kama wa hamisa, wanaishia kutiwa mimba na wahuni tu na wanatelekezwa
Kwaiyo usmart wa mwanamke unakua determined kwa kuzalishwa hovyo hovyo na hao unawahita high valued men?.Hamisa ni smart woman.
First born kazaa na high value man
Second born kazaa na high value man mwingine.
Then kaolewa na high value man mwingine.
Kuna mabinti wazuri kuliko hamisa, wana elimu kuliko hamisa, na bikira zao wanazo ila hawana ujanja wa kupata wanaume kama wa hamisa, wanaishia kutiwa mimba na wahuni tu na wanatelekezwa
Kwahiyo unakipigisha verse taratibu ukikiahidi maisha mazuriKimeshafika boss , na Niko nacho hapa tuna chati.......ila dah ni kilometa CHACHE sana aseeeeeeeeeeeeeee
Sawa grand daughterSometimes Kuna ID nyingine hapa ni nomaaaa mnooo
Bibi mkubwa....mie mjukuu wako wa KIUME wa kufikia
Uncle kama una jinsia ya kiume, basi ukubali tu unatudhalilisha wanaume wenzako.View attachment 3352199
Along his wife. Aseeeeee KUDANGA mixer. Bongoland
Agiza bia hapo nakuja lipia.......πΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈ