Naacha pombe rasmi

Naacha pombe rasmi

unapelea mjomba
Screenshot_20240617-142826_1.jpg
 
Mikwara ya mwaka mpya sio! Ukifika February nipo pale nimekaa
Bahati mbaya Sina namna ya kukuhakikishia kuwa nimeacha ... Pombe niliyokunywa ni nyingi sana nikikuwekea hapo unaweza maliza miaka 10 na usizimalize....Wapo waliopinga na ninakaa nao vilingini na sinywi...ila round nawazungushia fresh tu nikiwa fresh....kifupi Kuna dozi Moja ya IONOX ya ngozi nilimtumia siku 14 sinywi pombe nimeenda nimeongezewa dozi Tena ... Nimemaliza juzi ..hivyo nimekaa mwezi naenda wa pili ... Sioni Cha ajabu ...miwili umetulia na akili imetulia ....ya Nini kurudia Tena pombe.
 
Ila usiache kutupa darsa ulikutwa na nini hadi kufikia uamuzi huo.
Kama ni majanga ningeshaacha kitambo sana .. nimeamua tu baada ya kukaa nje ya ulingo zaidi ya mwezi nikiwa nakunywa dawa ya ngozi ilikuwa inawasha na kama mabaka flani baada ya kukaa sana ziwani kufanya madoria ya Uvuvi Haram... Ni kuamua tu ..nilishafanyaga hivi nilikaa miaka2 na nikarudi .... Sasa hivi sitaki kurudi Tena ntabaki na mpepe tu ..
 
Back
Top Bottom