Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
- Thread starter
-
- #281
🤣🤣🤣 eti nakuwa Atheist sasahiviUnaweza kuthibitisha hiyo Evolutionary mechanism ilitokeaje mpaka tukapata hizo system?
Let's trace back our Generation 🧬...... Mfano tu, rudisha kizazi chako kuanzia Mama yako, Mama yake na Mama yako na Bibi yake bibi yako..... Na kuendelea mpaka tunampata Mama wa watu wote!
Jiulize sasa, Je kwa mujibu wa Evolutionary mechanism huyo Mama wa kwanza alitokea wapi?
Ukitoa majibu yanayoingia akilini nakua atheist sasa hivi.
Ukisoma genetics utaelewa why species haziwezi kuendelea kwa mme na mke tu. Hata tembo wakiwa hatarishi hawachukui tembo dume na jike na kutegemea kuendeleza species. Sayansi ya biology haiwork hivyo. Hakuna Mama wa kwanza au baba wa kwanza. Soma bac hata biology utaelewa kidogo. Mkombozi wa fikra potofu za dini Ni Sayansi elimu na mawazo huru. Ndo maana wazungu wanaendelea kuliko sisi.Unaweza kuthibitisha hiyo Evolutionary mechanism ilitokeaje mpaka tukapata hizo system?
Let's trace back our Generation 🧬...... Mfano tu, rudisha kizazi chako kuanzia Mama yako, Mama yake na Mama yako na Bibi yake bibi yako..... Na kuendelea mpaka tunampata Mama wa watu wote!
Jiulize sasa, Je kwa mujibu wa Evolutionary mechanism huyo Mama wa kwanza alitokea wapi?
Ukitoa majibu yanayoingia akilini nakua atheist sasa hivi.
Hapo kujua hatima ya kila mtu kabla hajamuumba ndipo kunakoniumizaga kichwa pia
Namshangaa Mimi sio mchungaji, sihitaji sadaka yako na sikutishii Moto wa milele ili unipe hela. Mi nimekuambia fuatilia Uhuru wake wakuamini anachotaka. Ila ndo asifanye Imani zako ndo Kama historia ya ukweli wakati ye kasoma kitabu Cha hekaya za kale.🤣🤣🤣 eti nakuwa Atheist sasahivi
"God doesn't control every thing but he is capable of"Mstari
Mstari
Hujanielewa vizuri kama ulivyohisi kwenye mstari wako wa mwisho. Soma swali la mtoa mada Kisha soma jibu langu. Kiufupi shetani hayuko na malaika mbinguni, huko alishafukuzwa na hana nguvu mbele ya Mungu kama mtoa mada anavyodhani. Nguvu ya shetani iko duniani anakojaribu kushawishi watu, nguvu yake ndio mtihani wa binadamu katika kumtukuza na kumjuwa Mungu. God doesn't control everything but He is capable of and can do that at His own will and convenience. Sasa nilitoa disclaimer kwamba we can't discuss God empirically but logically.
Hao wasomi wa Biblia toka seminary na kufundisha Havard walijuaje hayo? kutoka source ipi? kama unaweza share please?!
So, wewe unavyoona CREATOR/ DESIGNER YUPO AU HAYUPO?Creator lazima kiwe kitu kimoja?
Naona unalazimisha kwamba designer wa vyote awe mmoja.
Si lazima designer awe mmoja wanaweza wakawa wengi zaidi ya mmoja.
Hujajibu swali kwa mujibu wa Evolutionary mechanism ambayo umesema ndiyo chanzo/asili ya mtu.Ukisoma genetics utaelewa why species haziwezi kuendelea kwa mme na mke tu. Hata tembo wakiwa hatarishi hawachukui tembo dume na jike na kutegemea kuendeleza species. Sayansi ya biology haiwork hivyo. Hakuna Mama wa kwanza au baba wa kwanza. Soma bac hata biology utaelewa kidogo. Mkombozi wa fikra potofu za dini Ni Sayansi elimu na mawazo huru. Ndo maana wazungu wanaendelea kuliko sisi.
Labda namm niongezee hapo hapo kwa uelewa wangu mdogo, Mungu alitaka watu au malaika wamtii, wampende, wamfuate kwa hiari yao kiasi fulani na ku appreciate ukuu wake japo alikuwa na uwezo au ana uwezo wa kutuendesha kama robots.Mpaka hapo nimegundua kwamba "Mungu hayo madhaifu aliyomuumba nayo Lucifer/Muasi pamoja na ya Eva (aliyedanganywa na huyo muasi) alikuwa anayatambua fika na alifanya hivo maksudi japo uwezo wa kutoyaumba hayo madhaifu alikuwa nayo ila aliwaumba nayo maksudi.
Nambie kama nipo sahihi hapo ama laah..
Kama nipo sahihi utanambia nikuulize swali moja muhimu sana
Limekua hivyo through gradual natural mechanisms. Ndo maana Leo hii bao lako na Yao la mwanamke linatengeneza mtoto na anakua mpaka uzeeni. Haya nikuite Mungu kwa kumwaga ndani na kusababisha babu ambae anaweza kuanzisha Vita ya dunia na dunia ikaisha. Maana we kutomwaga tu ndani vyote visingetokea.So, wewe unavyoona CREATOR/ DESIGNER YUPO AU HAYUPO?
Mfano, Jicho lako lenye :- Optic nerve, Iris, Cornea, retina, Pupil, Conjunctiva, Eyelids, sclera, Lacrimal gland na components nyingine,.... Je unadhani limekua hivyo by coincidence au kuna Designer!?
Bora anaeamini hekaya za Creation kuliko anaeamini hekaya za Evolution Theory.Namshangaa Mimi sio mchungaji, sihitaji sadaka yako na sikutishii Moto wa milele ili unipe hela. Mi nimekuambia fuatilia Uhuru wake wakuamini anachotaka. Ila ndo asifanye Imani zako ndo Kama historia ya ukweli wakati ye kasoma kitabu Cha hekaya za kale.
Sawa lakini sio mtu anayekiuka sheria zake aadhibiwe vikali wakati unakuta amemuumba anajua kuwa atamkosea tu.Labda namm niongezee hapo hapo kwa uelewa wangu mdogo, Mungu alitaka watu au malaika wamtii, wampende, wamfuate kwa hiari yao kiasi fulani na ku appreciate ukuu wake japo alikuwa na uwezo au ana uwezo wa kutuendesha kama robots.
Lakini jaribu kufikiri angekuwa na ufahari gani kuongoza au kuwa na kundi la watu wanaofanya vitu kama robots bila mapenzi yao?
Ni kama wewe Leo uwe na mpenzi anayekupenda kwa moyo wake na anayekupenda kwa madawa utaona utofauti.
So kwa kumalizia mi naona Mungu aliacha hayo mapungufu ili mwisho tujidhihirishie wenyewe bila yeye kutuma nguvu kuwa yeye ni mkuu,Alpha na Omega.
Hahh, ungekua na akili ungejiuliza who designed that mechanism kuliko kushangaa bao lako kusababisha babu anaeweza kuanzisha vita.....Limekua hivyo through gradual natural mechanisms. Ndo maana Leo hii bao lako na Yao la mwanamke linatengeneza mtoto na anakua mpaka uzeeni. Haya nikuite Mungu kwa kumwaga ndani na kusababisha babu ambae anaweza kuanzisha Vita ya dunia na dunia ikaisha. Maana we kutomwaga tu ndani vyote visingetokea.
Nimekwambia designer wa vyote aliyeumba vyote kwa wakati mmoja Hayupo..So, wewe unavyoona CREATOR/ DESIGNER YUPO AU HAYUPO?
Mfano, Jicho lako lenye :- Optic nerve, Iris, Cornea, retina, Pupil, Conjunctiva, Eyelids, sclera, Lacrimal gland na components nyingine,.... Je unadhani limekua hivyo by coincidence au kuna Designer!?
Kwa hiyo basi hata wafanyao uovu ni mipango ya huyo Mungu ili baadaye aje ajidhihirishe?Labda namm niongezee hapo hapo kwa uelewa wangu mdogo, Mungu alitaka watu au malaika wamtii, wampende, wamfuate kwa hiari yao kiasi fulani na ku appreciate ukuu wake japo alikuwa na uwezo au ana uwezo wa kutuendesha kama robots.
Lakini jaribu kufikiri angekuwa na ufahari gani kuongoza au kuwa na kundi la watu wanaofanya vitu kama robots bila mapenzi yao?
Ni kama wewe Leo uwe na mpenzi anayekupenda kwa moyo wake na anayekupenda kwa madawa utaona utofauti.
So kwa kumalizia mi naona Mungu aliacha hayo mapungufu ili mwisho tujidhihirishie wenyewe bila yeye kutuma nguvu kuwa yeye ni mkuu,Alpha na Omega.
Hatujui kwamba Mungu yupo. Kwa sababu zamani watu walisema upinde wa mvua Ni msamaha wa Mungu Ila Leo hii hata wewe unaweza tengeneza upinde wa mvua. Walisema mvua Ni maji yanayomwajika kutoka madirisha ya mbinguni. Lakini hata wewe ukipika unaweza una process ya condensation. In short kitu usichokijua ndo unampa Mungu. Inaitwa God of the Gaps. Na hizi gaps zinaendelewa kuwa filled kila siku na wanasayansi mwishowe utakosa pa kumficha huyo Mungu wako. Na jicho kuwa complex hainiambii kwamba Mungu Ni Allah na anataka nisali nikiangalia mji wa waarabu. Kusema Mungu yupo na Mungu Ni Allah au yahweh Ni vitu 26 tofauti.Hahh, ungekua na akili ungejiuliza who designed that mechanism kuliko kushangaa bao lako kusababisha babu anaeweza kuanzisha vita.....
View attachment 2603803
Kutoamini uwepo wa Mungu bhana kunahitaji kujitoa ufahamu kwa kweli.
Kupewa uhuru sidhani kama inamaanisha ukosee makusudi au Bahati mbaya ndio maana una ufahamu na hata unapofanya jambo baya nafsi yako huwa ni ya kwanza kukwambia kabla hujaambiwa na mtu mwingine yoyote au kufundishwa kuwa ulilofanya sio jema, umepewa machaguo na kila chaguo lina malipo yake na ndio maana nimesema Mungu anapenda umtii bila shuruti.Kwa hiyo basi hata wafanyao uovu ni mipango ya huyo Mungu ili baadaye aje ajidhihirishe?
Kwa nini maandiko ya kidini yanasema huyo Mungu anapenda mema tu na kuchukia Uovu???
Kama Mungu anapenda tumtii bila shuruti kwa nini alitupa uwezo wa kufanya mabaya na kutenda uovu ambao yeye unamchukiza?Kupewa uhuru sidhani kama inamaanisha ukosee makusudi au Bahati mbaya ndio maana una ufahamu na hata unapofanya jambo baya nafsi yako huwa ni ya kwanza kukwambia kabla hujaambiwa na mtu mwingine yoyote au kufundishwa kuwa ulilofanya sio jema, umepewa machaguo na kila chaguo lina malipo yake na ndio maana nimesema Mungu anapenda umtii bila shuruti.
Mi naona adhabu ziko wazi ivo ni maamuzi yako kuchagua ukosee au ufanye yanayompendeza sababu ukifanya mazuri kuna zawadi na ukifanya mabaya kuna adhabu. Na pia kuna option ya kutubu sababu hakuna mkamilifu ila yeye tu.Sawa lakini sio mtu anayekiuka sheria zake aadhibiwe vikali wakati unakuta amemuumba anajua kuwa atamkosea tu.