Unaweza kuthibitisha hiyo Evolutionary mechanism ilitokeaje mpaka tukapata hizo system?
Let's trace back our Generation 🧬...... Mfano tu, rudisha kizazi chako kuanzia Mama yako, Mama yake na Mama yako na Bibi yake bibi yako..... Na kuendelea mpaka tunampata Mama wa watu wote!
Jiulize sasa, Je kwa mujibu wa Evolutionary mechanism huyo Mama wa kwanza alitokea wapi?
Ukitoa majibu yanayoingia akilini nakua atheist sasa hivi.

Ukisoma genetics utaelewa why species haziwezi kuendelea kwa mme na mke tu. Hata tembo wakiwa hatarishi hawachukui tembo dume na jike na kutegemea kuendeleza species. Sayansi ya biology haiwork hivyo. Hakuna Mama wa kwanza au baba wa kwanza. Soma bac hata biology utaelewa kidogo. Mkombozi wa fikra potofu za dini Ni Sayansi elimu na mawazo huru. Ndo maana wazungu wanaendelea kuliko sisi.
Namshangaa Mimi sio mchungaji, sihitaji sadaka yako na sikutishii Moto wa milele ili unipe hela. Mi nimekuambia fuatilia Uhuru wake wakuamini anachotaka. Ila ndo asifanye Imani zako ndo Kama historia ya ukweli wakati ye kasoma kitabu Cha hekaya za kale.
Hujanielewa vizuri kama ulivyohisi kwenye mstari wako wa mwisho. Soma swali la mtoa mada Kisha soma jibu langu. Kiufupi shetani hayuko na malaika mbinguni, huko alishafukuzwa na hana nguvu mbele ya Mungu kama mtoa mada anavyodhani. Nguvu ya shetani iko duniani anakojaribu kushawishi watu, nguvu yake ndio mtihani wa binadamu katika kumtukuza na kumjuwa Mungu. God doesn't control everything but He is capable of and can do that at His own will and convenience. Sasa nilitoa disclaimer kwamba we can't discuss God empirically but logically.
In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the "quiet revolution" of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today's researchers differ from what people have always thought. The story of...
www.jameskugel.com
This book is avaialable in epub and mobi formats here
How to Read the Bible
A Guide to Scripture, Then and Now
READ AN EXCERPT
Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?
In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.
Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.
How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
So, wewe unavyoona CREATOR/ DESIGNER YUPO AU HAYUPO?
Mfano, Jicho lako lenye :- Optic nerve, Iris, Cornea, retina, Pupil, Conjunctiva, Eyelids, sclera, Lacrimal gland na components nyingine,.... Je unadhani limekua hivyo by coincidence au kuna Designer!?
Ukisoma genetics utaelewa why species haziwezi kuendelea kwa mme na mke tu. Hata tembo wakiwa hatarishi hawachukui tembo dume na jike na kutegemea kuendeleza species. Sayansi ya biology haiwork hivyo. Hakuna Mama wa kwanza au baba wa kwanza. Soma bac hata biology utaelewa kidogo. Mkombozi wa fikra potofu za dini Ni Sayansi elimu na mawazo huru. Ndo maana wazungu wanaendelea kuliko sisi.
Hujajibu swali kwa mujibu wa Evolutionary mechanism ambayo umesema ndiyo chanzo/asili ya mtu.
Ngoja nikukumbushe swali, niliuliza hivi ⤵️
Let's trace back our Generation 🧬...... Mfano tu, rudisha kizazi chako kuanzia Mama yako, Mama yake na Mama yako na Bibi yake bibi yako..... Na kuendelea mpaka tunampata Mama wa watu wote!
Jiulize sasa, Je kwa mujibu wa Evolutionary mechanism huyo Mama wa kwanza alitokea wapi?
Mpaka hapo nimegundua kwamba "Mungu hayo madhaifu aliyomuumba nayo Lucifer/Muasi pamoja na ya Eva (aliyedanganywa na huyo muasi) alikuwa anayatambua fika na alifanya hivo maksudi japo uwezo wa kutoyaumba hayo madhaifu alikuwa nayo ila aliwaumba nayo maksudi.
Nambie kama nipo sahihi hapo ama laah..
Kama nipo sahihi utanambia nikuulize swali moja muhimu sana
Labda namm niongezee hapo hapo kwa uelewa wangu mdogo, Mungu alitaka watu au malaika wamtii, wampende, wamfuate kwa hiari yao kiasi fulani na ku appreciate ukuu wake japo alikuwa na uwezo au ana uwezo wa kutuendesha kama robots.
Lakini jaribu kufikiri angekuwa na ufahari gani kuongoza au kuwa na kundi la watu wanaofanya vitu kama robots bila mapenzi yao?
Ni kama wewe Leo uwe na mpenzi anayekupenda kwa moyo wake na anayekupenda kwa madawa utaona utofauti.
So kwa kumalizia mi naona Mungu aliacha hayo mapungufu ili mwisho tujidhihirishie wenyewe bila yeye kutuma nguvu kuwa yeye ni mkuu,Alpha na Omega.
So, wewe unavyoona CREATOR/ DESIGNER YUPO AU HAYUPO?
Mfano, Jicho lako lenye :- Optic nerve, Iris, Cornea, retina, Pupil, Conjunctiva, Eyelids, sclera, Lacrimal gland na components nyingine,.... Je unadhani limekua hivyo by coincidence au kuna Designer!?
Limekua hivyo through gradual natural mechanisms. Ndo maana Leo hii bao lako na Yao la mwanamke linatengeneza mtoto na anakua mpaka uzeeni. Haya nikuite Mungu kwa kumwaga ndani na kusababisha babu ambae anaweza kuanzisha Vita ya dunia na dunia ikaisha. Maana we kutomwaga tu ndani vyote visingetokea.
Namshangaa Mimi sio mchungaji, sihitaji sadaka yako na sikutishii Moto wa milele ili unipe hela. Mi nimekuambia fuatilia Uhuru wake wakuamini anachotaka. Ila ndo asifanye Imani zako ndo Kama historia ya ukweli wakati ye kasoma kitabu Cha hekaya za kale.
Bora anaeamini hekaya za Creation kuliko anaeamini hekaya za Evolution Theory.
Use & disuse? Kwamba tulikua na mikia ila tulivyoacha kuitumia ikatoweka.... Huu ni uongo clear kabisa
Labda namm niongezee hapo hapo kwa uelewa wangu mdogo, Mungu alitaka watu au malaika wamtii, wampende, wamfuate kwa hiari yao kiasi fulani na ku appreciate ukuu wake japo alikuwa na uwezo au ana uwezo wa kutuendesha kama robots.
Lakini jaribu kufikiri angekuwa na ufahari gani kuongoza au kuwa na kundi la watu wanaofanya vitu kama robots bila mapenzi yao?
Ni kama wewe Leo uwe na mpenzi anayekupenda kwa moyo wake na anayekupenda kwa madawa utaona utofauti.
So kwa kumalizia mi naona Mungu aliacha hayo mapungufu ili mwisho tujidhihirishie wenyewe bila yeye kutuma nguvu kuwa yeye ni mkuu,Alpha na Omega.
Limekua hivyo through gradual natural mechanisms. Ndo maana Leo hii bao lako na Yao la mwanamke linatengeneza mtoto na anakua mpaka uzeeni. Haya nikuite Mungu kwa kumwaga ndani na kusababisha babu ambae anaweza kuanzisha Vita ya dunia na dunia ikaisha. Maana we kutomwaga tu ndani vyote visingetokea.
So, wewe unavyoona CREATOR/ DESIGNER YUPO AU HAYUPO?
Mfano, Jicho lako lenye :- Optic nerve, Iris, Cornea, retina, Pupil, Conjunctiva, Eyelids, sclera, Lacrimal gland na components nyingine,.... Je unadhani limekua hivyo by coincidence au kuna Designer!?
Labda namm niongezee hapo hapo kwa uelewa wangu mdogo, Mungu alitaka watu au malaika wamtii, wampende, wamfuate kwa hiari yao kiasi fulani na ku appreciate ukuu wake japo alikuwa na uwezo au ana uwezo wa kutuendesha kama robots.
Lakini jaribu kufikiri angekuwa na ufahari gani kuongoza au kuwa na kundi la watu wanaofanya vitu kama robots bila mapenzi yao?
Ni kama wewe Leo uwe na mpenzi anayekupenda kwa moyo wake na anayekupenda kwa madawa utaona utofauti.
So kwa kumalizia mi naona Mungu aliacha hayo mapungufu ili mwisho tujidhihirishie wenyewe bila yeye kutuma nguvu kuwa yeye ni mkuu,Alpha na Omega.
Hahh, ungekua na akili ungejiuliza who designed that mechanism kuliko kushangaa bao lako kusababisha babu anaeweza kuanzisha vita..... View attachment 2603803
Kutoamini uwepo wa Mungu bhana kunahitaji kujitoa ufahamu kwa kweli.
Hatujui kwamba Mungu yupo. Kwa sababu zamani watu walisema upinde wa mvua Ni msamaha wa Mungu Ila Leo hii hata wewe unaweza tengeneza upinde wa mvua. Walisema mvua Ni maji yanayomwajika kutoka madirisha ya mbinguni. Lakini hata wewe ukipika unaweza una process ya condensation. In short kitu usichokijua ndo unampa Mungu. Inaitwa God of the Gaps. Na hizi gaps zinaendelewa kuwa filled kila siku na wanasayansi mwishowe utakosa pa kumficha huyo Mungu wako. Na jicho kuwa complex hainiambii kwamba Mungu Ni Allah na anataka nisali nikiangalia mji wa waarabu. Kusema Mungu yupo na Mungu Ni Allah au yahweh Ni vitu 26 tofauti.
Kupewa uhuru sidhani kama inamaanisha ukosee makusudi au Bahati mbaya ndio maana una ufahamu na hata unapofanya jambo baya nafsi yako huwa ni ya kwanza kukwambia kabla hujaambiwa na mtu mwingine yoyote au kufundishwa kuwa ulilofanya sio jema, umepewa machaguo na kila chaguo lina malipo yake na ndio maana nimesema Mungu anapenda umtii bila shuruti.

Mi naona adhabu ziko wazi ivo ni maamuzi yako kuchagua ukosee au ufanye yanayompendeza sababu ukifanya mazuri kuna zawadi na ukifanya mabaya kuna adhabu. Na pia kuna option ya kutubu sababu hakuna mkamilifu ila yeye tu.
So it's your choice and you must pay the price for your selection
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.