Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Hata mimi sijasema zinazungushwa na Mungu bali nimesema zinakuwa controled na DESIGNER huyo designer mimi jina simjui

Same thing. Umebadili kutoa Mungu kuweka designer tu.

Hii ni anthropic bias tu, una assume kwamba simple systems cannot evolve and increase complexity and give the appearance of design to you, where there is no design.

Hiyo idea kwamba kila kilicho complex kina designer itakupa ulimwengu ambao designer atahitaji designer wake, na designer wake atahitaji designer wake, ad infinitum, ad nauseam.
 
Unasahau kuwa hapa tunamzungumzia Mungu wa Upendo?!!

Mbona unatoa mifano ya ovyo km vile mungu huwa anaamua kuswitch na kubehave km Hitler mida flani
 
Wow....Jamii Forums Ina Richard Dawkins mwenyewe
 
Kutojua logical fallacies ni so meta, meta ignorance.

Ukizijua logical fallacies unachana kwenye msingi wa ignorance hizi nyingi sana.
 
Mudi hakutaka kuwapa shida vijana wake,kwny msahafu kawanyooshia maelezo kabsa
 
Unasahau kuwa hapa tunamzungumzia Mungu wa Upendo?!!

Mbona unatoa mifano ya ovyo km vile mungu huwa anaamua kuswitch na kubehave km Hitler mida flani
Hizo ni jitihada za kumuelezea Mungu ambaye hayupo.

Ndiyo maana unaona contradictions zote hizo.

Mungu katungwa, halafu anaonekana hapa na pale kuna contradictions, ambazo haziwezi kuwa resolved, kwa sababu katungwa na watu tu, hayupo nje ya tungo hizo.
 
Ndo shida ya vitabu vilivyoandikwa na wanadamu km sisi,ukiwa unayasema mapungufu ya biblia unaambiwa eti kuwa hujafunguliwa kuielewa biblia na bla bla km hizo,wakati Mungu mwnyw anasema kaiandika biblia ili kila mtu aielewe na haihitaji upesho wowote ili kuelewa
 
Kungekua na option ya bookmark basi ningeitunza hii post yako
 
Wakristo, Waislam na Wahayahudi hawaabudu Mungu tofauti,....


Ukitaka ujue hawaabudu Mungu tofauti, usisikilize ushabiki wa kidini, ingia deep kwenye Elimu kuhusu hizo dini utaelewa.
 
Kiranga nakubali uwazi wako kuhusu imani zako.... Lakini, and this is coming from your fellow atheist, kujiweka wazi hivi hakuna madhara kweli??
 
Mkuu unakitu naendelea kufatilia replies zako,watu wangejua dini ni swala la kihistoria wasingekua wanasema hizi habari za mungu na ukuu wake
 
Kimsingi kabisa, Atheists ndiyo Wana Imani Kali kuliko hata wanaoamini kwamba Ulimwengu na viumbe wanatokana na Uumbaji wa Mungu.


Atheist wengi wanadai Sayansi ndiyo inelezea kila kitu na fact kuhusu Ulimwengu na viumbe ulivyoanza... Lakini ukidadisi utagundua hayo madai kwamba Sayansi ndiyo inelezea facts, utagundua sio kweli 100% Bali inahusisha kuamini.


sasa shida hao Atheist wanaamini hizi Scientific theories(Evolution Theory Mfano) kwamba zenyewe eti zipo 100% correct na kuona kwamba wanaoamini Mungu wapo Brainwashed.

Lakini kiukweli kabisa:-
1. Kuamini kwamba Ulimwengu na viumbe vilitokea tu from nowhere tena by chance.
2. Na kuamini kwamba Kuna Creator aliyefanya Ulimwengu na viumbe vitokee.

Mimi naona hiyo Imani ya kwanza ndiyo Kali zaidi ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
mtu anaambiwa miaka Billions iliyopita mdudu flani alitokea by chance kisha aka_evolve akawa Popo na mtu anaamini bila wasiwasi..... Kisha anaona wanaoamini kwenye Creation theory ni wajinga then wao waerevu.


Vladmir Putini SimbaMpole123 na wafuasi wote wa dini ya brother Kiranga.
 
Mkuu unakitu naendelea kufatilia replies zako,watu wangejua dini ni swala la kihistoria wasingekua wanasema hizi habari za mungu na ukuu wake
Mimi nulishasema muda kuwa huyu na hateeb10 wana kitu na wanastahili kusikilizwa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Ila sasa vitu vyao vina kinzana na hapo ndipo utamu ulipo
 
Mkuu Kwa mujibu wa maneno yako ambayo naimani ndio maneno ya Mungu kutokana na Dini yako

Kuwa binadamu ameumbwa hapa duniani Kwa lengo la kumuamudu Mungu wake tu, Malaika ameumbwa kwa lengo la kuagizwa/kumsaidia Mungu sasa je Shetani/Jini aliumbwa kwa lengo au kazi gani?
 
Mimi bado niko wa vugu vugu kwanza ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Ila tofuatรฌ yangu na yao ni kwamba mimi naamini kuna designer wa kila kitu hapa duniani ambaye jina lake mimi bado sijamjua
 
Mimi bado niko wa vugu vugu kwanza ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Ila tofuatรฌ yangu na yao ni kwamba mimi naamini kuna designer wa kila kitu hapa duniani ambaye jina lake mimi bado sijamjua
Hahhh yap, naelewa kama upo vuguvugu.


Lakini waulize wanaoamini Theories kama Evolution kwamba:-
1. Je, Kuamini kwamba zamani watu walikua na mikia... Ila kutokana na kutoitumia ilifanya mikia idhoofike na kutoweka (Use & Disuse Theory)

2. Na, kuamini kwamba Mtu alivyo leo, ndiyo hivyo alivyoumbwa,.... Na hajawahi kuwa na mkia.




Imani ipi inahitaji kujitoa akili hapo?
 
Bora sisi au Bora wewe ambae unaamini kuliko na mwanga na Giza baadae dunia ikatengenezwa, baadae jua mwezi na nyota zote(ulimwengu mzima Sasa jiulize dunia ilikuwa wapi na Ina ukubwa gani kutengenezewa siku 3 na ulimwengu uliobaki siku 1), mimea kutengenezewa kabla ya jua(sijui inakuwaje bila photosynthesis), watu wawili katika bustani, mmoja katokea na udongo mwingine mbavu, Kuna matunda ya uzima wa milele na ujuzi, Kuna wanyama wote na mimea yote katika bustani moja lakini hamna kifo mpaka mwanamke atapoongea na nyoka na kuambiwa ale tunda. In short Bora niamini the gradual process of evolution kuliko kuamini hii hekaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ