Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Kiranga nitakuja kukujibu badae niko saloon ngoja ninyoe kwanza zamu yangu imefika
 
Mbona hatuoni dunia ikitoka kwenye mfumo wake au ikilosogelea sana jua ili iungue.

Kama hilo halitokei jua ndiyo mfumo maalum wenyewe ninao uzungumzia mimi
Ni gravity tu iko balanced. Chakulia mfano ukizungusha jiwe kwenye kamba;



Kwann jiwe halikudondokei kichwan ukiwa unazungusha hivi? Ni kwasababu force iko balanced...
 
Sio kwamba vinazunguka kwa mfumo maalumu.
Yani Mkuu, unamaanisha kwamba havizunguki kwa mfumo maalumu?

Ule ni mfumo ukubali ukatae lakini ndiyo ukweli.


Hata Sisimizi ametengenezewa mifumo, Mimi na wewe kwenye miili yetu kuna mifumo,

Kimsingi kwenye Ulimwengu wetu huu, kila kitu kipo kwenye mfumo tu.
 
Na pia jana usiku SimbaMpole123 nilikuuliza kama Binadamu ata exist katika form nyingine baada ya kufika kikomo chake lakini pia bado hukunipa jibu la kueleweka
Nimekujibu metamorphosis ni kwa wadadu sio kwa binadamu. Haya we si ulikuwa yai tumboni unakumbuka chochote no . Na hautakumbuka chochote ukiwa unaoza ardhini
 
Acha kutetea story za mababu wasioelewa ulimwengu unafanyaje kazi na kuingizia miujiza kila sehemu ili story ifunction..kitu hakieleweki so solution yako "ilikuwa miujiza" bac afanye miujiza aeleweke kuwe na dini moja.
 
Vladimir Putin sijui ..jibu lako Hilo hapa...soma
 
Acha kutetea story za mababu wasioelewa ulimwengu unafanyaje kazi na kuingizia miujiza kila sehemu ili story ifunction..kitu hakieleweki so solution yako "ilikuwa miujiza" bac afanye miujiza aeleweke kuwe na dini moja.
Kitu usichokiweza wewe kwako ni miujiza....

Bali kwa Mwingine ni Ujuzi tu unahitajika.
 
Hivi umeona jamaa kasemaje? Kua bodies zinazunguka perfectly bila kugongana, hio sio kweli. Ndio kitu nimepinga.

Hii mifumo kujua inavyo fanya kaz si kimazingaombwe, ni kitu kinaelezeka. Kabla vitu havijawa 'perfect' kama vilivyo, makosa yalitokea mengi sana hapo awali mpaka ikawa balanced hivi. Nimequote 'perfect' kwasababu hakuna kitu perfect... hata mwili wa binadamu hauko perfect
 
Km angeweza kuumba kwa secs concept ya kupumzika siku ya saba ilitokana na nn
 
Hakuna jipya utakalolisema na kudhihaki juu ya mitume ya Mungu ambalo baba zako waliokutangulia katika kukufuru hawakulisema.

Maneno yako yananikumbusha habari ya Qawm ya thamud pindi walipoletewa Muonyaji miongoni mwao walimkanusha na kusema haya uliyoyasema wewe ila leo hii tembea katika jangwa la Arabia uone ulikuaje mwisho wao.

Quran
Al-Qamar 54:23-26

كَذَّبَتْ ثَمُودُ بِٱلنُّذُرِ

Thamudi waliwakanusha Waonyaji.

فَقَالُوٓا۟ أَبَشَرًا مِّنَّا وَٰحِدًا نَّتَّبِعُهُۥٓ إِنَّآ إِذًا لَّفِى ضَلَٰلٍ وَسُعُرٍ


Wakasema: Ati tumfuate binaadamu mmoja katika sisi? Basi hivyo sisi tutakuwa katika upotofu na kichaa!


أَءُلْقِىَ ٱلذِّكْرُ عَلَيْهِ مِنۢ بَيْنِنَا بَلْ هُوَ كَذَّابٌ أَشِرٌ


Ni yeye tu aliye teremshiwa huo ukumbusho kati yetu sote? Bali huyu ni mwongo mwenye kiburi!

 
Swali, binadamu ashawahi kuwa na mkia?
"Tail bone" ni nn?
Anatomically, binadamu anamkia. Chimpanzee anamkia.

Ila ukiongelea mkia kama ilivo kwa mnyama kama mbwa, hapana. "Binada" hajawahi kua na mkia...

Labda kama ni mutation imetokea:



Na tafiti zinaonesha hawa watu wanaozaliwa na mutation inayopelekea mkia kua mrefu wanaweza kurithisha hio mutation kwa vizaz vyao, kama ilivo kwa watu wanaozaliwa na vidole 6 mkono mmoja.

Sasa traits kama hizi zikiwa superior ktk survival ndio matokeo yake baada ya vizazi na vizazi, utakuta hio gene ya mkia ndio default ya binadamu.
 
Kwahio kila kitu kilitengenezwa ndani ya siku tatu? Kwahio binadamu tuliishi kwa wakat mmoja na dinosaurs? Giant sloths, giant leeches na wale reptiles wanaopaa?
 
Mkuu, Binadamu hajawahi kuwa na mkia....
Human beings are not born with tails. While humans do have a tailbone, which is technically called the coccyx, it is a small bone structure at the base of the spine that serves as an attachment point for muscles and ligaments. It does not protrude from the body like a tail and does not serve any significant function in human movement or biology.

Although there have been some rare cases where people are born with a small, protruding bump at the base of their spine, it is not a true tail and does not have any bone or muscle structure. This condition is known as "pilonidal sinus," which occurs when a hair follicle becomes infected and inflamed.




Dunia ipo kiganjani siku hizi,... Hizo story zako sio za kweli.
 
Kwahio kila kitu kilitengenezwa ndani ya siku tatu? Kwahio binadamu tuliishi kwa wakat mmoja na dinosaurs? Giant sloths, giant leeches na wale reptiles wanaopaa?
Hujaelewa Mkuu,.... Hapo nilimjibu tu kama alivyouliza wewe ume_misquote
 
Majini ni jamii ya viumbe kama tulivyo sisi wanadamu. Wapo wema (wanaomuamini Mungu) na wapo pia waovu (wasiomuamini Mungu). Kama tulivyo binadamu nao wapo hivyo hivyo. Asili yao wameumbwa kwa moto na lengo la kuumbwa kwao ni kukuabudu Mungu peke yake.

Majini waovu ndio huitwa Mashetani na vile vile wanaadamu waovu huitwa mashetani. Shetani ni Sifa ya kiumbe muovu na muasi anayechochea wengine wazidi kumuasi Mungu.

Iblis ,yeye ni Jini. Ameumbwa kwa moto na alipata bahati ya kulelewa katika kundi la malaika huko mbinguni.Mwanzo alikuwa ni mchamungu sana akimuabudu Mungu kila wakati ila Mungu alijua yale yaliyofichikana ndani ya kifua cha iblis ambayo si mingine bali ni KIBURI.

Mungu alipomuumba mwanadamu kutokana na udongo,akampulizia roho na kisha akampa elimu. Baadae aliamua kuwapa mtihani Malaika, iblis (jini) na Adam. Adam alifaulu na malaika na iblis (Jini) walishindwa mtihani huo hivyo Mungu akawaamuru wamsujudie kumpa heshima Adam.Malaika wote walimsujudia huyu kiumbe mpya yaani Adam, isipokuwa huyu jini, Iblis yeye aliamua kuasi amri ya Mungu na kukataa kwa kiburi kwa kuwa ameumbwa kwa asili bora yaani Moto na Adam ameumbwa kwa udongo. Kutokana na kiburi hiyo ,Mungu alimlaani na kutolewa katika kundi la malaika alikokuwa akiishi nalo huko mbinguni nal kuteremshwa hapa duniani.Iblis alimuomba Mungu ,ampe uhai mrefu mpaka siku watu watakapofufuliwa , Mungu alimkubalia ombi lake hilo la kumpa uhai mrefu mpaka pale muda wake utakapotimia.Baada ya hapo akamuapia Mungu kuwa atavipoteza vizazi vyote vya Adam isipokuwa kwa wachache wale ambao watakuwa wamemuamini Mungu.
 

"...serve as attachment of muscles and ligament..." kwan mkia hauna muscles and ligament?
Pilodonial sinus unayoongelewa ww ni hii;



Na ndio, nimesema binadamu hajawahi kua na mkia. Tunaongelea binadamu hapa. Ila anaweza akawa nao conditions zikiruhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…