"Tail bone" ni nn?
Anatomically, binadamu anamkia. Chimpanzee anamkia.
Ila ukiongelea mkia kama ilivo kwa mnyama kama mbwa, hapana. "Binada" hajawahi kua na mkia...
Labda kama ni mutation imetokea:
View attachment 2608414
Na tafiti zinaonesha hawa watu wanaozaliwa na mutation inayopelekea mkia kua mrefu wanaweza kurithisha hio mutation kwa vizaz vyao, kama ilivo kwa watu wanaozaliwa na vidole 6 mkono mmoja.
Sasa traits kama hizi zikiwa superior ktk survival ndio matokeo yake baada ya vizazi na vizazi, utakuta hio gene ya mkia ndio default ya binadamu.