Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Conspiracy theorists. Unafkir watu wasio na akili wapo bongo tu pekee? Same people wanaopinga kutua mwezini ndio same wanaosema chanjo zina microchip na kila anaepata hizo chanjo anakua controlled na super computer iko somewhere na ndo same people wanaosema Pyramids zilijengwa na aliens... [emoji706]
Chips zipo ndiyo na zaidi ya hizo chips kweny hayo machanjo we unadhani kwanini dhambi zinaongezeka zaidi duniani.
 
Acheni wivu jamani... fuatilia historia ya cold war fuatilia historia ya space race ndo utaelewa. Wakati huku tunabwajabwaja, urusi na marekani walikuwa wanashindana kianga, kufikisha mtu angani na baadae mwezini. Wamarekani wameenda mwezini Mara Saba na mwishoni 1980s wakaacha coz haina faida Tena it's an expensive project. Sasa we ukitaka kulazimisha waende wape hela waende. Wazungu hawaishi kuaiminisha watu maskini na wasio na elimu. Unakaa mtandaoni unabisha watu hawakuenda mwezini lakini unakubali mtu alifufuka baada ya siku tatu na unajiona mtu mwenye akili. Wenzetu wametuzidi Hilo mnabidi mkubali instead of kukaa kukataa maendeleo ya watu. Hadi mwanamke kashaenda mwezini..kafuatilie historia ya space race usipende kusema kitu bila kuwa na facts
Sas story za kupikwa hollywood hazina reflection yoyote unataka nd tuziamini ila tusiamini dini ambayo imeandika mifumo ambayo inathibitika mpaka leo. Nitajie katika amri kumi za Mussa kipi hakina madhara mpake leo.
 
Fatilia history ya Egypt utaona kabisa hawakujenga watumwa Ila waajiriwa na walikuwa wanalipwa vizuri .ukifuatilua pyramids pembeni kulikuwa na vi mji vidogo ndo makazi Yao hao wajenzi. Wayahudi hawajawahi kuwa watumwa Misri hio story haina ukweli wa kihistoria
kwahyo wewe kila kitu unataka kiwe kweny history uchwara ya binadamu wa kwanza alikuwa nyani. Hujaona maandishi ya kiaramaic yaliyopo museum ya marekani kwa sasa yakionesha legal documents zinazowahusu egypt miaka ya july 3, 449 BCE. Ila kwako wewe kusema mzungu kagundua milima nd unaona ujanja wakati milima mababu zetu walikuwa wanaenda kutambikia daily.
 
Kwanza unajua maana ya atheists? Kabla wazungu hawajaja afrika hatukua atheists. Na nchi kama Lebanon, Pakistan na India mapigano mengi yanasababishwa na dini, hasa uislamu.

Japan ni nchi yenye amani zaidi, hio ni fact. Japan unaweza kulala nyumba mlango wazi. Ila cheki nchi zenye hitakadi za kidini. Mwanamke akitoka tu nje kavaa kinamna flani anabakwa.
Sijazungumzia mababu walikuwa atheist sababu hawakumjua Mungu wa kweli mi nimewazungumzia hawa wa sahivi kama nyinyi. We unasema japan kuna amani unajua jamii ya kiyakuza japan inavofanya mambo ya kutisha kama mauaji usafirishaji wa madawa ya kulevya human trafficking halafu unakuja kusema watu wasio amini wana amani. Bro yani kwenye dhambi kuna mambo yataumbua tu nd kama hao mayakuza japan wapo na wanatambulika hata wajapana wenyewe wanawajua ni kama cartel za mexico tu sasa wewe kwako hiyo nd amani wakati watu wanakufa kama kawaida. Tena nchi yenyew unayoita ina amani majanga hayaishi sijui nagasaki na hiroshima mara tsunami mara mafuriko ya kila aina growth yenyew tu ya mwili ni tatizo. Wajapan ni moja ya watu wanaongoza kwa sex abuse na sex trafficking hasa za watoto wewe nd unaita amani hiyo pole.
 
Sina Cha kujibu ..kwa huu mfano.
Ndiyo huwezi kujibu kwasababu binadamu kapewa elimu ya kumshika Mungu we unakuja kumfananisha na mtoto ambae hjui A wala B sasa hii akili ya kutengeneza manuclear nd unataka kusema usielewe knowledge ya Mungu.
 
Mbona umeweka Aya hiyo Tu,.. weka Aya zote tatu ulizosema,
Ili nizilete hapa, tuone kama Umesema kweli au Uongo
Chupi alichukua nani?
 
Attachments

  • Screenshot_20230501-031504_Chrome.jpg
    Screenshot_20230501-031504_Chrome.jpg
    221.5 KB · Views: 5
Mkuu, Mimi si miongoni mwa watu wanaopenda kuongelea uzushi.

Tafuta hoja yenye ukweli japo kidogo Ili tujadili, kujadili uongo ni Utoto.

Ahsante.
Haya tuambie kwann allah amshushie quran Mohammad lakini alishindwa kuzuia watu wasiharibu vitabu vya nyuma.
 
Mkuu, Mimi si miongoni mwa watu wanaopenda kuongelea uzushi.

Tafuta hoja yenye ukweli japo kidogo Ili tujadili, kujadili uongo ni Utoto.

Ahsante.
Hivi unasemaje uzushi wakati quran imeandika vitu vyote hivyo hapo. Kwa mfano tu hilo la mtume kukutwa na kijakazi.
 
Yeye ndiyo anajua kwanini alifanya hivyo.
Sasa hapo kama sababu za msingi hazipo basi inawezekana kweli quran ilicopy masomo. Tuambie ni sahihi mtoto wa miaka sita kumueka kwenye maudhui ya kingono kwa maan Yesu alisema waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa kuwa ufalme wa mbingu ni wao.
 
Hakuna sehemu kwenye Qur'an mtoto wa miaka 6 kawekwa kwenye maudhui ya kingono.

Labda kama wewe umeiona, unaweza ukatuonyesha leo tuione.
 
Hivi unasemaje uzushi wakati quran imeandika vitu vyote hivyo hapo. Kwa mfano tu hilo la mtume kukutwa na kijakazi.
Kama Sio uzushi,... Niambie ni Aya gani ya Qur'an inathibitisha hayo madai yako.

Ili tuone kama unasema kweli!
 
Acheni wivu jamani... fuatilia historia ya cold war fuatilia historia ya space race ndo utaelewa. Wakati huku tunabwajabwaja, urusi na marekani walikuwa wanashindana kianga, kufikisha mtu angani na baadae mwezini. Wamarekani wameenda mwezini Mara Saba na mwishoni 1980s wakaacha coz haina faida Tena it's an expensive project. Sasa we ukitaka kulazimisha waende wape hela waende. Wazungu hawaishi kuaiminisha watu maskini na wasio na elimu. Unakaa mtandaoni unabisha watu hawakuenda mwezini lakini unakubali mtu alifufuka baada ya siku tatu na unajiona mtu mwenye akili. Wenzetu wametuzidi Hilo mnabidi mkubali instead of kukaa kukataa maendeleo ya watu. Hadi mwanamke kashaenda mwezini..kafuatilie historia ya space race usipende kusema kitu bila kuwa na facts
Data zinaonesha mara ya mwisho mwanadamu kutua mwezini ilikuwa mwaka 1973 chini ya crew ya APPOLO 17.

Sasahivi wanataraji kurudi 2024 kwa bajeti ya dolar Bilion 28 chini ya mridi Arterms ukuhisha NASA na SPACE X
 
Sas story za kupikwa hollywood hazina reflection yoyote unataka nd tuziamini ila tusiamini dini ambayo imeandika mifumo ambayo inathibitika mpaka leo. Nitajie katika amri kumi za Mussa kipi hakina madhara mpake leo.
Katika amri kumi za mussa. Mbili tu ndo sheria. Na Katika hizo amri hawajazungumzia ufataki, ubakaji, utumwa, kumtesa mtu. So it shows sio list nzuri ya sheria. Ndo maana hamna mtu anazichukulia serious
 
kwahyo wewe kila kitu unataka kiwe kweny history uchwara ya binadamu wa kwanza alikuwa nyani. Hujaona maandishi ya kiaramaic yaliyopo museum ya marekani kwa sasa yakionesha legal documents zinazowahusu egypt miaka ya july 3, 449 BCE. Ila kwako wewe kusema mzungu kagundua milima nd unaona ujanja wakati milima mababu zetu walikuwa wanaenda kutambikia daily.
Sasa inahusiana vipi na wayahudi kujenga pyramids?
 
Shida hizo nchi unazoita shitholes zilikuwa masikini hata kabla ya dini. Hivi wewe kwa akili yako unadhani wazungu walianza kusali na waafrica kanisa moja walivofika tu. Haya tuambie nyinyi maatheist taifa mmelifanyia nini mpaka watu wawafuate tuanzie hapo. Unazungumzia amani japan amani za mapanga na mapigano ndo amani kwako. Masamurai wanafanya nini kule maninja wanafanya nini kule kwanini wanatengeneza misilaha mizito? Sababu wanajua amani yao sio ya milele sababu kuna kipindi walitandikwa na wenzao tofauti na ukisali kweli unapata amani ya milele.
Hahaha nimecheka Sana ..hivi wewe unaangalia movie za kijapan ndo unadhani wapi hivyo. Hebu fanya research bac. Japan crime rate ni ndogo. Watu wengi wanafanya kazi kwa bidii na Wana maadili mazuri kuliko nchi nyingi za NATO. Na kwenye silaha Wana mikataba kudhibiti jeshi kwa sababu za athari ya Vita ya pili ya dunia. Hebu acha kuangalia movie uangalie taarifa za BBC na al Jazeera kidogo utajua kuhusu hizi nchi za Japan na south Korea
 
Back
Top Bottom