basi ngoja abebe mzigo mwenyewe kwa kuwa yeye ndiye anawajibika,na sheria zinasema halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote kwenye jambo loloteWakiwekwa wazi tukiwajua, tutawakosoa zaidi ya Mh rais
Inatosha kutambua Ikulu ni taasisi kubwa iliyosheheni wafanyakazi wenye fani na sifa bora katika kila kitengo.
Tunalishwa matanga pori eti urais ni taasisi! Upuuzi mtupu, urais hauna ubia!Kwanini tuamini kuwa ana washauri? Labda hana.
Na badala yake yeye ndio Mshauri.
Mimi nadhani rais wetu ana wachonganishi lakini pia washauri. Lakini kutokana na maamuzi anayoyafanya nadhani husikiliza zaidi wachonganishi kuliko washauri.Urais ni taasisi. Rais ni mkuu wa taasisi hiyo. Kiutendaji,Rais hutenda au kuamua baada ya kushauriwa au kushauriana na Washauri wake. Wapo Washauri wa kila sekta imhusuyo Rais.
Wapo Washauri wa kisheria,kiuchumi,kisiasa na hata kiutamaduni. Taasisi ya Urais imekamilika kila idara. Tangu kuanza utumbuaji,imekuwa ikijitokeza hali ya Washauri wa Rais kuwa 'wachonganishi' badala ya 'washauri'.
Mara baada ya utumbuaji,hudhihirika kuwa sababu zinazoelezwa na Rais katika kutumbua huwa ni tofauti na zile halisi. Nataja mifano ya utumbuaji wa Mkurugenzi Mtendaji wa TIC,Maafisa kadhaa wa TAKUKURU na hata Bodi ya TRA.
Je,Rais hujazwa hasira badala ya kushauriwa katika kuelekea kutumbua? Je,Rais wetu mpendwa amezungukwa na 'Washauri' au 'Wachonganishi'? Tatizo hasa ni nini?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mmoja wa washauri wake ni Jamaa Mmoka Kigogo wa Mkoa wetuUrais ni taasisi. Rais ni mkuu wa taasisi hiyo. Kiutendaji,Rais hutenda au kuamua baada ya kushauriwa au kushauriana na Washauri wake. Wapo Washauri wa kila sekta imhusuyo Rais.
Wapo Washauri wa kisheria,kiuchumi,kisiasa na hata kiutamaduni. Taasisi ya Urais imekamilika kila idara. Tangu kuanza utumbuaji,imekuwa ikijitokeza hali ya Washauri wa Rais kuwa 'wachonganishi' badala ya 'washauri'...
The Boss, nitakuuliza swali baada ya kunijibu swali lifuatalo, kutokana na hoja yako ya Rais mzuri.Rais mzuri ni yule anaeomba ushauri kwa washauri na wataalam
kabla hajaongea au kuamua kitu
Sio rais anaenda kwa media na kulaani taasisi kuhifadhi hela kwenye fixed deposit
halafu anatokea mchumi anae heshimika na mmoja wa washauri wa Rais kwenye uchumi na kusema
hakuna kosa lililorendeka na fixed deposit ni sahihi....
halafu mtu bado anabisha kama Rais anasikiliza washauri?
The Boss, nitakuuliza swali baada ya kunijibu swali lifuatalo, kutokana na hoja yako ya Rais mzuri.
"Nchi yetu imekuwa na Marais wanne waliomtangulia Rais wa sasa hivi. Kwa tafsiri yako ya Rais mzuri, ni nani kati ya waliomtangulia Rais wa sasa anakidhi vigezo vyako?"
Umeshasikia kitu kinaitwa"KATIBA "? Kama bado inaashiria kuwa Tanzania hakuna kitu kama hicho. Wenzetu hawaapishi viongozi wao haraka haraka kwani kura zao hazihesabiwi na NEC. NISEME TU NEC NI JIPU🙁Hivi Trump anasubiri nini kuapishwa hadi hiyo January 20? Wageni waalikwa au?
Kwa hiyo Ana ushauri wa mungu 😀Mmoja wa washauri wake ni Jamaa Mmoka Kigogo wa Mkoa wetu
Waganga njaaUrais ni taasisi. Rais ni mkuu wa taasisi hiyo. Kiutendaji,Rais hutenda au kuamua baada ya kushauriwa au kushauriana na Washauri wake. Wapo Washauri wa kila sekta imhusuyo Rais.
Wapo Washauri wa kisheria,kiuchumi,kisiasa na hata kiutamaduni. Taasisi ya Urais imekamilika kila idara. Tangu kuanza utumbuaji,imekuwa ikijitokeza hali ya Washauri wa Rais kuwa 'wachonganishi' badala ya 'washauri'...
Huyo ndio tegemeo la ushauri wa kuongeza mapato ya nchi , ndio maana kodi ya kuweka majina badala ya namba kwenye magari aliipaisha hadi 10mil kutoka 5mil , badala ya 3mil kama sisi wajinga tulivyopendekeza .Kama katika washauri wake yupo Philip Mpango basi kazi anayo
Philip Mpango wa wizara ya fedha au mwingine?! Kama ndiye ni shida tupu toka miaka hiyoooKama katika washauri wake yupo Philip Mpango basi kazi anayo
Nadhani yeye ndio anawashuri washauri wakeWafuasi wanachojali ni kumfanya mkubwa ao afurahi, lazima wajue anapenda mambo gani wamfurahishe.
Tatizo ni kwamba, wale wanaotakiwa kuwa washauri, wamekosa ujasiri wa kuifanya hiyo kazi vizuri wameamua kufuata upepo wa mkuu.
Kwa ufupi, hana washauri.