Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila...

Rais anashauriwa na vichwa panzi kama Muhongo wanaomsabotage !
 
Ushauri wowote ule hauna maana kama unayemshauri hawezi kuupokea ushauri kwasababu ana intelligence quotient ndogo au ni mbishi asiyesikiliza anachoambiwa, hata kama kinamsaidia.
 
Uwezi amini nenda na shida yako ofisi ya Utumishi utaambiwa hata sisi hatujui lipo juu yetu
 
akna alhaj bulembo , yusuf makamba, nape, lusinde a,k.a kibajaj na msukuma ndo washaur wake
 
Ki-ukweli hana washauri bali wapo Wambea ,wanafiki na wachonganishi ndiyo wanamdanganya mara nyingi.
 
Mungu Makondakta ndie mshauri wa Mungu Mtu Juma Ponda Mali Mensah!
 
akna alhaj bulembo , yusuf makamba, nape, lusinde a,k.a kibajaj na msukuma ndo washaur wake
Kila mmoja ana Kitengo chake: mfano January yy ni mzee wa fursa ni mpigaji ndiyo maana kajipa Kitengo cha Ulaji chenye Bajeti kubwa Kitengo cha uchakachuaji na kuvikoroga vyama kama wanavyofanya sasa kupitia lipumba. Bulembo na Nape kumchochea awachukie Wapinzani ili waonekane ni washauri wake wenye kujua ubaya wa kuwaacha Wapinzani wakiwa huru na wenyewe pia wanapiga pesa kupitia hizo njia Haramu.
 

"Nyie ndio vichaa tunaowatafuta"... Makonda.
 
Kwa tabia yake tu ya kutosoma hata hotuba alizoandikiwa nina uhakika hua hapokei ushauri, ushauri anaoupokea ni ule utakaokua unaakisi anayoyataka hapa tunakumbuka maneno ya H. Rungwe kua kazi anazifanya kitabia siyo kiutendaji.
Anatawala kwa Tabia zake lakini wapo Wajanja pia wanatambaa mle mle kwenye Tabia zake mpaka wanapiga pesa humo humo kama wanavyofanya sasa kupiga pesa nyingi kupitia mgongo wa Lipumba.
 
Washauri wote waoga tupu, hana Washauri mkuu, na hatakuja kushauriwa hata siku moja..
 
Washauri wote waoga tupu, hana Washauri mkuu, na hatakuja kushauriwa hata siku moja..
Wapo washauri Wajanja wanaotambaa na Kile anachokitaka wanapiga pesa kupitia humo humo mfano huu wa kutowapenda Wapinzani ndipo pesa nyingi inapigwa sana,wamegundua hawapendi Wapinzani hivyo kila kukicha wanamchochea atoe pesa za kuwadhoofisha kupitia Lipumba na Madalali wa siasa.
 

Nikurudishe nyuma kabla ya kukuliza swali. Rejea mada yangu kuu, iloyobeba hoja hizi hapa:
1) Tulikuwa na viwanda vingi vya umma vilivyojengwa wakati wa Mwl, kwa kutaja vichache ni Mang'ula na Kilimanjaro Machine Tools; Viwanda vya Morogoro Industrial Area; viwanda vya nguo; kiwanda cha zana za kilimo, nk ambavyo ni kama vimekufa vingine ni magofu.

2) Wawekezaji wamejikita katika kuwekeza kwenye maeneo ya matumizi tu (habari na mawasiliano, mahoteli, supermarkets, etc) na siyo viwanda?

Je, siyo kweli hiyo inatokana na sera za kiuchumi na msimamizi mkuu ni Rais?
 
naona msajili wa hazina anasema kwamba hakuna anayelipwa milioni 40 serikalini,wote wako chini ya hapo.

mshauri gani alimwambia serikalini kuna mtu analipwa 40!
 
Napendekeza Hashim Rungwe awe mshauri wa Rais hao wenginewamesha-prove failure
 
Kuna commedy ya Teacher Mpamile wa Uganda anasema rais wa nchi fulani (siyo Tizii) ana washauri 170, kati ya hao wengine hajawahi kukutana nao, na wanaokutana naye, sio wao wanaomshauri bali ni yeye anayewashauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…