Umesema ukweli kabisa "sijaona maajabu ya wydad" Naamini tr 28 ndo utaona hayo maajabu ngoja niite mwenyeji kutoka Morocco mwarabu feki [emoji28]Sijaona maajabu ya Wydad
Kikubwa Simba ajitahidi apate goli la ugenini hata moja na asikubali kufungwa kipindi Cha kwanza Ili kuwafrustrate Wydad
AaahahajaaaUmesema ukweli kabisa "sijaona maajabu ya wydad" Naamini tr 28 ndo utaona hayo maajabu ngoja niite mwenyeji kutoka Morocco mwarabu feki [emoji28]
✍️💪💪💪💪🤛💪🤛👍Inshaallah!! Na iwe hivyo.
[emoji881] nguvu 1
Hallah [emoji3590][emoji833]
Aahaaaaa
Kikubwa ni kuwafunga mapema au kukaza mpaka halftime Ili wapanikiNilichokiona kwa wydad wanacheza kwa hasira na kihuni hasa mkiwazidi mashambulizi.. hii ni advantage kwa simba sc kama akiitumia vizuri ... ni rahisi kumpiga mtu akiwa kwenye hasira kuliko mtu mwenye utulivu wa akili..
Alichokifanya Marumo Simba anakiwezaHili linawezekana kabisa.
Mpira wa miguu umebadilika sana siku hizi.
Yeyote anaweza akafanya chochote regardless performance background
SwadaktaSimba Acheze kama yanga wawapo ugenini, Naamini watafuzu.
Alisikika zuzu mmoja.
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu.... football sahivi ukienda na mentality ya sijui waydad hajawahi kupoteza game home ground sijui nn,mwisho wa siku huyo anayepewa nafasi kubwa anazingua.Alichokifanya Marumo Simba anakiweza
Ile kasumba ya Waarabu hawafungiki kwao Simba anayo nafasi ya kuifutaKabisa mkuu.... football sahivi ukienda na mentality ya sijui waydad hajawahi kupoteza game home ground sijui nn,mwisho wa siku huyo anayepewa nafasi kubwa anazingua.
Na hii ni kutokana na pressure kubwa atakayokuwa nayo kuthibitisha huo ugiant, lakini hii ni fursa kwa ile timu inayochukuliwa kama underdog kupata matokeo positive
Cha msingi Simba waende na mentality ya kwamba hawajafika hapo kwa bahati mbaya kama ambavyo watu wengi wanadai.Kabisa mkuu.... football sahivi ukienda na mentality ya sijui waydad hajawahi kupoteza game home ground sijui nn,mwisho wa siku huyo anayepewa nafasi kubwa anazingua.
Na hii ni kutokana na pressure kubwa atakayokuwa nayo kuthibitisha huo ugiant, lakini hii ni fursa kwa ile timu inayochukuliwa kama underdog kupata matokeo positive
Naunga mkono hojaCha msingi Simba waende na mentality ya kwamba hawajafika hapo kwa bahati mbaya kama ambavyo watu wengi wanadai.
Wachezaji wapige mbungi inayoeleweka na mwisho wa siku matokeo yatapatikana.
Ili ufungwe kwenye football ni lazima ufanye makosa.... makosa yanaweza yakatokea upande wowote ule and atakayekuwa vizuri ku~convert makosa ya mwenzie kuwa magoli ndio ataondoka kidedea
Mpira una matokeo 5 kufunga,kufungwa,sare,sku huska, na bahati.kwahiyo chochote kinawezekana nalikija hili la timu kucheza nje kuweni wamoja uadui wenye uwe kwe darbi tu, hapo mtatoboa maoni yangu.Simba Acheze kama yanga wawapo ugenini, Naamini watafuzu.
Alisikika zuzu mmoja.
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
InshaalahMpira una matokeo 5 kufunga,kufungwa,sare,sku huska, na bahati.kwahiyo chochote kinawezekana nalikija hili la timu kucheza nje kuweni wamoja uadui wenye uwe kwe darbi tu, hapo mtatoboa maoni yangu.
Mkuu hapa ulipuyanga sana, ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko wao kutoa droo huko Morou
Duuh,Mkuu hapa ulipuyanga sana, ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko wao kutoa droo huko Morocco
Tusivuke mto kabla ya kulifikia darajaMkuu hapa ulipuyanga sana, ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko wao kutoa droo huko Morocco