Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #21
huyo anayethibitisha hawawezi kukuzui kutengeza dawaHuenda hujaelewa hoja yangu, nimekuambia dawa yoyote lazima idhibitishwe na WHO. Hapo kwenye kudhibitishwa na WHO ndio penye mtihani. Vinginevyo uitoe kama dawa ya kienyeji, huhitaji kuwa rais kutengeneza dawa ya kienyeji.
Hata sielewi umeitaja hiyo Madagascar kwa muktadha gani kuendana na nilichokisema mimi.
Hivi hicho kibanda cha kujifukiza cha Magu watu walikuwa wanaenda kupiga nyungu pale?Wazo lako si baya, lakini dawa yoyote inaidhinishwa na WHO. Vinginevyo hata ukiwa rais labda uiuze kama dawa ya kienyeji. Iwe kama ile ya Madagascar Magufuli aliyomtuma Kabudi wakainywa bila kufanyiwa majaribio. Yaani ikawa aibu ya aina yake.
Ama ufanye kama kile kibanda cha kujivufukiza Magu aliagizwa kiwekwe hapo Muhimbili kipindi cha covid, madoctor wakawa wanalalamika chini chini, alipofafiki wiki hiyo hiyo kabla hajapasuka kikaondolewa haraka kuficha aibu iliyokuwa imeenea.
Ni impossible sababu waliokuwa na mamlaka makubwa ya uRais hawasupport mawazo kama hayahuwa una hoja nzuri na mawazo mazuri mda mwingine ila implementation za mawazo yako huwa ni impossible, ni ile unakuwa na mawazo fulani ila ukiingia field Hali unakuta ni tofauti kabisa.
Hakuna anayekuzuia kutengeneza dawa, kama lengo lako ni kutengeneza Anza hata sasa. Kupata kibali ni ufanisi wa hiyo dawa, na wala hakuna uhusiano wowote wa kuwa rais kwanza. Na hao WHO hawakupii kibali eti kwakuwa ni rais kutoka nchi fulani. Ufanisi wa hiyo dawa na ikithibitika kimaaabara inaweza kutibu, utapewa kibali. Kinyume na hapo itengeneze kawape wagonjwa kama kikombe cha babu wa Loliondo.huyo anayethibitisha hawawezi kukuzui kutengeza dawa
Kama wengine wanatengeneza dawa kwanini sisi tusitengeneze mbona njia za kutengeneza dawa zinajulikana mpaka clinical trials
Ukitengeneza dawa na ika na efficacy ya zaidi asilimia 40 kwenye clinical trials kwanini wasipitishe
Nakubaliana na ulichosema kuhusu viongozi tulionao lakini je? Tuna ile expertise? Technical know how? Capital? Bila kusahau mazingira rafiki kuweza kutimiza yote hayo.Ni impossible sababu waliokuwa na mamlaka makubwa ya uRais hawasupport mawazo kama haya
Afrika inafeli sababu ya utashi wa kisiasa uliopo
Chawa walikuwa wanapenda, nioichogundua ni kuwa Magufuli alikuwa na nguvu kubwa ya ushawishi kiasi kwamba hata udhaifu wake akawaambukiza na wengine. Cha ajabu hata madaktari wakawa wanaingia kujifukiza kisha wanapiga picha ili Magufuli awaone. Kwa ujinga huo ikawa wanaonyesha eti kuwa ni ishara ya uzalendo na kulinda vyetu waafrika!Hivi hicho kibanda cha kujifukiza cha Magu watu walikuwa wanaenda kupiga nyungu pale?
Naona jamaa kauliza "who are you"?Niko powa niambie
Dawa nayoongelea ni zile zinazouzwa pharmacy mpaka zikamilike ni tsh trillion 2Hakuna anayekuzuia kutengeneza dawa, kama lengo lako ni kutengeneza Anza hata sasa. Kupata kibali ni ufanisi wa hiyo dawa, na wala hakuna uhusiano wowote wa kuwa rais kwanza. Na hao WHO hawakupii kibali eti kwakuwa ni rais kutoka nchi fulani. Ufanisi wa hiyo dawa na ikithibitika kimaaabara inaweza kutibu, utapewa kibali. Kinyume na hapo itengeneze kawape wagonjwa kama kikombe cha babu wa Loliondo.
ALimaanisha how are youNaona jamaa kauliza "who are you"?
Siyo how are you?
Sijui umemwelewa?
Uliongea nae akasahihisha? Au wewe ndivyo ulivyoelewa ?ALimaanisha how are you
Sipotezagi mda na petty issuesUliongea nae akasahihisha? Au wewe ndivyo ulivyoelewa ?
Who na how yana maana tofauti Sana ingawa yote Yana herufi 3 zinazofanana.
Kutengeneza dawa gharama yake average ni usd billion 1 sawa na trillion 2 na zaidi za kitanzaniaKila siku unaweka ahadi humu,ukiwa rais utafanya hivi au utafanya vile,
Je mpaka sasa umechukua hatua gani au utachukua hatua gani ambazo zitapelekea wewe kua rais?
Kumbuka kua Dreams will never come true just by dreaming,
Je kwa sasahivi unaisaidiaje jamii iliyokuzunguka kutatua japo matatizo madogo madogo yaliyo wazunguka? au na yenyewe unasubiri mpaka uje kua rais?
Kumbuka kua,you do not need a formal title or position in government to create meaningful change,everyday action by regular citizens can directly solve local problems.
Jifunze kusoma comment ya mtu na kuielewa kwanza kabla ya kuijibu,Kutengeneza dawa gharama yake average ni usd billion 1 sawa na trillion 2 na zaidi za kitanzania
Wewe unadhani hapo hatua gani inachukua zaidi ya kuadvocate
Viongozi wote wamepitia njia unazosema wewe na still afrika ni maskini na mpaka leo hatujawahi kutengeneza dawa na changamoto lukuki bado zipoJifunze kusoma comment ya mtu na kuielewa kwanza kabla ya kuijibu,
Au umeamua tu kukwepa maswali yangu? comment yangu uliyo iquote wala sijaongelea kuhusu kutengeneza dawa,
Soma tena hiyo comment yangu kisha uje na majibu kama unayo.
Ngoja nikuache tu,naona unakwepa maswali yangu makusudi kabisa.Viongozi wote wamepitia njia unazosema wewe na still afrika ni maskini na mpaka leo hatujawahi kutengeneza dawa na changamoto lukuki bado zipo
Afrika zaidi ya hayo uliyoyasema ina-hitaji mtu mwenye vision, mbinu na boldness mimi hivyo ninavyo
Sijakwepa ila Afrika inahitaji viongozi wenye haiba zaidi ya ambao umezitaja weweNgoja nikuache tu,naona unakwepa maswali yangu makusudi kabisa.
Moja ya mambo lazima niyafanye ntahakikisha tunatengeneza dawa ya ebola nikiwa Rais wa Tanzania
Unajua ukifuatilia swala la ebola ni aibu kubwa sana kwa sisi waafrika utaona tunachangamoto kubwa sana
Tatizo ni letu kwanini tusibirie nchi ambazo tatizo haliwahusu ndo watengeneza dawa, ebola ni ugonjwa ambao hauwasumbui wazungu, wachina au wahindi ni tatizo letu sisi waafrika
Niwakati wa kuanza mchakato wa kutengeneza dawa ya ebola tuache unyonge
DAWA ITAJIKITA KWENYE KUTIBU SYMPTOMS NA WAKISHAKUWA WEAK WATAKUA ELIMINATED NA WHITEBLOOD CELLS
Kutengeneza dawa kunafika mpaka usd billion 1 sawa na zaidi ya tsh trilion 2 za kitanzania kwa hiyo kikwazo kikubwa ni utayari wa kisiasa wa kuweka fedha kwa ajili ya kutengeneza dawa
- kwanini nasema hivi uko udhshidi wa watu kupona ebola hii inadhihirisha ni virus ambavyo whiteblood cells inaweza viondoa