Naamini tunaweza kutengeneza dawa ya Ebola. Nikiwa Rais lazima dawa itatengenezwa ili kuepukana na huu udhalilishaji

India wanafanya kitu kinachoitwa copying kutoka dawa zinazotengenezwa na kampuni za western ila waweze kuzuiuza kwa bei nafuu

Kutengeneza dawa ni kazi ngumu sana sababu nyingi zinafeli kwenye clinical trials

Ila waafrika tunapenda vya bure eti formula ni bure mambo sio marahis kama unavyotaka kuaminisha watu
 
Sina uhakika na uyasemayo kuhusu India ila ninachojua 100% India wanatafiti na wanachuja Active ingredients kutoka dawa-tiba za kiasili Ayurvedic.
 
Wewe unatatizo; hutofautiani sana na Luca na Tlaatlaah!

Huna umakini juu ya jambo lolote, siku zote ni kuota tu...
 
Ebola mbona Ulaya hamna.
Unajua katika kipindi kifupi nimekuja kujifunza kwanini baada ya magonjwa yapo Africa na huko kwa weupo haupo. Mfano mdogo malaria. Wenzetu wazungu maji machafu yana systems zao, huku kwetu umeosha vyombe maji wamwaga nje ya mlango, wafikiri nini kitafiata baada ya hapo?

Pili wenzetu huko nje hakuna mahali utakuja ardhi ni kavu kwa maana haina mmea wowote. Huku kwetu ukatuka kuna eneo kubwa hata ukoka watu wanashindwa kuotesha. Sasa wenzetu wako mbali na muda ardhi yeyote lazima waweke ukoka hapi kuzui vumbi, ndio maana huko huwezi kuta vikohozi visivyo na sababu rasmi.

Africa changamoto yao ni mazingira yao ndio yanachochea milipuko ya magonjwa mbali mbali..

Bongo kila nyumba ina kunguni au mende.
 
Wewe unatatizo; hutofautiani sana na Luca na Tlaatlaah!

Huna umakini juu ya jambo lolote, siku zote ni kuota tu...
Kuwa ambitious kutengeneza dawa inayotesa waafrika hutaki
Kutafuta suluhisho la matatizo ya afrikaa hutaki unaiita ujinga

Alafu kila siku unawaponda ccm kumbe na wewe ni zero
 
Acha uongo kiasili malaria hawawezi ishi europe

Na kwa zile nchi zenye mazalia ya mbu wamewekeza kwenye fumigation hakuna miujiza
 

Si kweli kwamba dawa lazima ipitishwe na WHO, ukisoma drug discovery and development, dawa hupitishwa na Taasisi za nchi husika ( Drug Regulatory Authorities) kama TMDA_Tanzania, FDA-Marekani na EMA(Europian Union).

WHO hutoa qualifications kwa bidhaa inayotakiwa kutumika kidunia tu. Hapo ndo unakuta wakati mwingine WHO inaweza kupitisha dawa lakin FDA pia ikasema inahitaji kujiridhisha ili dawa husika itumike Marekani.

Hivyo, WHO si mbadala wa FDA, TMDA au EMA.
 
Nenda kasome International Health Regulations (IHR), kwa nini iwepo.
Ugonjwa kama Ebola ni tishio kwa dunia, kwani dunia ni kama kijiji. Mgonjwa anaweza kusafiri ndani ya muda mfupi na kufika popote kabla ya dalili. Biashara, maisha na hatari vikachanganyikana ndani ya muda mfupi. Magonjwa ambayo siyo shida zao ni Neglected Tropical Diseases (NTD).
 
Hii inahusiana ni na nchi kutaka kutengeneza dawa
KWanini wako wanapambana kutengeneza dawa ya ebola ila hutaki nchi za afrika zitengeneze
 
Dawa ikipitishwa na FDA YA marekani na europe technical inakuwa rahisi kupitishwa nchi nyingine za dunia
 
Dawa ikipitishwa na FDA YA marekani na europe technical inakuwa rahisi kupitishwa nchi nyingine za dunia
Hapa nilikuwa naelezea kuwa si WHO inayohusika kupitisha dawa ndani ya nchi, na hili lilitokana na yule aliyesema kwamba dawa ili itumike ni mpaka ipitishwe na WHO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…