IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,737
- 3,301
hujaelewaa hii Toka nijue kuwa formula za dawa miaka 20 iliyopita iko bure kabisa na kutengeneza dawa hizo ni bure hulipii chochote.India wanafanya kitu kinachoitwa copying kutoka dawa zinazotengenezwa na kampuni za western ila waweze kuzuiuza kwa bei nafuu
Kutengeneza dawa ni kazi ngumu sana sababu nyingi zinafeli kwenye clinical trials
Ila waafrika tunapenda vya bure eti formula ni bure mambo sio marahis kama unavyotaka kuaminisha watu
Ndo maana nilikushauri ukasome IHR ili ujue si tatizo la Afrika kama unavyoliona wewe.Ndio ebola ni tatizo la afrika na mara nyingi outbreak inatokea huku afrika
Unazo akili za kitoto sana wewe..Kuwa ambitious kutengeneza dawa inayotesa waafrika hutaki
Kutafuta suluhisho la matatizo ya afrikaa hutaki unaiita ujinga
Alafu kila siku unawaponda ccm kumbe na wewe ni zero
Hapana Wala Hana shida na huo urais.Je na yeye hadi awe rais ndio aweze kutengeneza hiyo dawa?
Nadhani ni kuboresha mawazo ya jamaa tu kuwa vipaumbele vya kiongozi wa juu vitafanya kufanikisha baadhi ya mambo kama kuwa na viwanda vya dawa na tafiti mbali mbali nimeona Ramaphosa akisisitiza kuhusu dawa yao ya kufubaza virusi vya HIV ambayo wametengeneza wao..Huenda hujaelewa hoja yangu, nimekuambia dawa yoyote lazima idhibitishwe na WHO. Hapo kwenye kudhibitishwa na WHO ndio penye mtihani. Vinginevyo uitoe kama dawa ya kienyeji, huhitaji kuwa rais kutengeneza dawa ya kienyeji.
Hata sielewi umeitaja hiyo Madagascar kwa muktadha gani kuendana na nilichokisema mimi.
Kwamba kusema afrika tutengeneze dawa ya ebola ni upuuziUnazo akili za kitoto sana wewe..
Mada zako zote ni za kipuuzi puuzi tu!
Mfano mzuri ni huu hapa. Unaleta mada hata hujui chochote kuhusu unachoandika juu yake.
Ninapokuweka daraja moja na hao niliowataja, elewa kwamba huna umakini wowote katika kila mada unayoanzisha humu JF.
Hata ebola tunaweza tengeneza dawaNadhani ni kuboresha mawazo ya jamaa tu kuwa vipaumbele vya kiongozi wa juu vitafanya kufanikisha baadhi ya mambo kama kuwa na viwanda vya dawa na tafiti mbali mbali nimeona Ramaphosa akisisitiza kuhusu dawa yao ya kufubaza virusi vya HIV ambayo wametengeneza wao..
Ebola wahanga ni waafrika we ni lini umesikia mchina au mjindi amekufa na ebolaNdo maana nilikushauri ukasome IHR ili ujue si tatizo la Afrika kama unavyoliona wewe.
Mimi naamini chochote kinawezekana ni mipango tu..Hata ebola tunaweza tengeneza dawa
Ni ajabu sana sisi ni wahanga wa ebola ila wanaopambana kutengeneza dawa ni makampuni ya wazungu unajua haya ni maajabu ya afrikaMimi naamini chochote kinawezekana ni mipango tu..
Jiwe alifanya watu na professional zao waonekane vituko 😹Wazo lako si baya, lakini dawa yoyote inaidhinishwa na WHO. Vinginevyo hata ukiwa rais labda uiuze kama dawa ya kienyeji. Iwe kama ile ya Madagascar Magufuli aliyomtuma Kabudi wakainywa bila kufanyiwa majaribio. Yaani ikawa aibu ya aina yake.
Ama ufanye kama kile kibanda cha kujivufukiza Magu aliagizwa kiwekwe hapo Muhimbili kipindi cha covid, madoctor wakawa wanalalamika chini chini, alipofafiki wiki hiyo hiyo kabla hajapasuka kikaondolewa haraka kuficha aibu iliyokuwa imeenea.
Ile dawa ya madagscar huwezi iweka kundi moja na dawa za hospitalini ile ilikuwa dawa ya mitishambaJiwe alifanya watu na professional zao waonekane vituko 😹
Kwahiyo na wewe unataka kutengeneza mitishamba?Ile dawa ya madagscar huwezi iweka kundi moja na dawa za hospitalini ile ilikuwa dawa ya mitishamba
Ebola wahanga ni waafrika we ni lini umesikia mchina au mjindi amekufa na ebola
Unajua marekani amejitoa WHOSuala siyo nani anakufa na ugonjwa huo ndo iwe suala msingi kwa jamii yake tu. Watu na jumuiya za kimataifa na nchi zote wanaangalia haya magonjwa kwa mtizamo mtambuka, kuna magonjwa ambayo anapotokea mgonjwa mmoja tu, ni tishio kidunia. Ndo maana nimekwambia soma kwa nini nchi zote wanachama wa WHO wanasimamiwa na International Health Regulations (IHR)?. Utaelewa kwa nini Ebola si tatizo kwa nchi yenye mgonjwa tu.
Hii inatokana na umuhimu uliowekwa kwa magonjwa husika/yenye sifa tajwa). Ni kwa sababu inaweza kutatiza maendeleo ya dunia: kibiashara, uchumi, usalama na usafiri duniani. Na gharama za kuuzuia ugonjwa usisambae na kutibu ni kubwa kuliko kinga. Wewe unaona hii si shida kwa dunia?
Unajua marekani amejitoa WHO
kutengeneza dawa hakuna uhusiano na WHO
YAANI AFRIKA TUNATAKIWA KUTENGENEZA DAWA ZA MALARIA, ARVs, NA EBOLA HUWEZI SEMA TUSUBIRIE WHO TUTENGENEZE ILI TUPUNGUZE UTEGEMEZI WA NCHI ZA MAGHARIBI
Si kweli, maisha si rahisi kiasi hicho.hujaelewaa hii Toka nijue kuwa formula za dawa miaka 20 iliyopita iko bure kabisa na kutengeneza dawa hizo ni bure hulipii chochote.
Mimi nakufatilia kwa sababu una mawazo sahihi ila unayatoa sehemu ambayo sio sahihi..Ni ajabu sana sisi ni wahanga wa ebola ila wanaopambana kutengeneza dawa ni makampuni ya wazungu unajua haya ni maajabu ya afrika
Unayo matatizo makubwa akilini mwako.Kwamba kusema afrika tutengeneze dawa ya ebola ni upuuzi
Wewe ni tahira