Naandika haya kwa uchungu sana

Kama jambo limeshakukuta usitishie wengine
 
Unaonyesha na kuwa Biology ticha, mifano huwezi kuonyesha au kutenda inapotakiwa.
 
utakufa mapema sana
 
Halafuu hizi mada za kataa Ndoa ni humu jamii forum tuu...huko nje life goes on...watu wanaona Kwa kishindoo Tena Kwa Ndoa za gharama kbsaaaa ..ila ukiingia humu unaweza sema watu hawataoa kbsaaπŸ˜…πŸ˜…..Vitisho ni vingi lkn Ndoa zipoo pale paleπŸ˜…
 
Mtoto mdogo hata kitovu hakijakauka ushaanza kutoa ushauri wa kuchukia wanawake...acha kuruka step basi
 
Yaan unatuletea stori! Za kusikia?? Mwanaume tumeumbwa kukabiliana na mambo kama hayo vipi ujiweke pembeni?

Tatizo lenu mnaiga wahindi, wakati waafrika tuna namna yetu yakuwaendesha wanawake.

Utasikia baby pumzika Leo niingie mim jikoni,

Mara akuguse Tako, mwenyewe unachekea.. kwann Sasa usije hapa ukiwa unalalamika?

Nyinyi mliozaliwa daslama ndo mnatusumbua na mapenzi yenu yakishenzi.

Sisi vijijini huku wenyewe wanajua, na tunaishi nao mpka tunakufa tunawaachia watoto wanalea.

Mkitaka muishi nao vzuri ulizeni Babu zenu walikuwa wanafanyaje? Sio mnaleta mapenzi ya kwenye maigizo.
 
Miss you bff
Me too bff 😍😍
Niliona umeniulizia selfika nikashindwa kukujibu nna ban kule 😹

Niko mzima wa afya ila naweweseka usiku, naota ndoto mbaya, nawaza sana lile tukio.
Na watu nawafahamu basi balaa tupu.πŸ₯Ή
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…