Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

MALCOM LUMUMBA unaonekana ni muumini na mfuasi mtiifu sana wa Paul Makonda, nachelea kukuita mfuasi na muumini wa mtu huyo sababu nikiuangalia ukuu wako hapa jukwaani najiona ninakukosea heshima , ila acha na iwe hivyo, maana juu yake umekuwa mtetezi mkuu na huku moyo ukikuvuja damu juu yake. Hautaki wakati wowote watu wayakumbuke mabaya aliyoyatenda, wakati humu jukwaani wewe ni guru wa historia ukiwakumbusha watu matukio mbalimbali lakini ya Makonda hutaki wayakumbuke.
 
Duuh
 
Uliandika wakati ule, na umeandika tena wakati huu.
Tunaweza tukasema uliandika , yametokea
 
Kuniita mimi mfuasi wa Paul Makonda ni kunivunjia mno heshima na kudharau mchango wangu mkubwa niliowahi kuutoa ndani ya taifa hili kupinga utawala kandamizi wa Raisi Magufuli, nikihatarisha maslahi yangu na uhai wangu.​
 
Mkuu unamfahamu vizuri huyu kijana
 
Kuniita mimi mfuasi wa Paul Makonda ni kunivunjia mno heshima na kudharau mchango wangu mkubwa niliowahi kuutoa ndani ya taifa hili kupinga utawala kandamizi wa Raisi Magufuli, nikihatarisha maslahi yangu na uhai wangu.​
Kwanini sasa unamshabikia muuaji, mdhulumaji na mtesaji Makonda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…