Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Na lile wowowo lake yani hafanani kabisa.
 
Hawezi kuingia nchi za ulaya marekani alipigwa marufuku kwa kudhurumu watu haki ya kuishi
 
Kabla ya kauli hizi mlisema kinga ya Makonda alikua Magufuli...

Leo Samia anamlinda pia? kwanini?

Logically hizi shutuma kumhusu Makonda ni za uongo...

Mliwahi kumchafua Lowassa kwa mtindo huu huu, alipokuja kwenu ikawa aibu...
Omba uzima tu ndugu yangu tuendelee kuwapo hadi 2030. Tutarudi kwenye hii post
 
Maelezo kuhusu shutuma za Makonda hua zinanifanya nijiulize huenda Makonda ni allien... au shutuma ni za uongo...

Haiwezekani binadamu wa kawaida ukawa na shutuma lukuki kama hizo then ulindwe...
Puuza wahuni mkuu, wahuni hulopokatu bila fact.
 
Acha kulialia,dhibitisha ubayawake.
 
Sipendi UNAFIKI, huko CCM nani hana tuhuma za uuaji, dhuluma na utesaji ?

Halafu kiongozi akiwa muuaji, mdhulumaji na mtesaji si anapelekwa mahakamani ?​
Ni mnafiki tayari. Kwanini umtetee muuaji eti kwa vile kuna wauaji wengine. Nitajie mwana CCM mwingine aliyeua na kudhulumu watu kama Makonda
 
Vyovyote itakavyokuwa...

Ninachotetea hapa tusichafue watu kwa chuki zetu bila hoja za msingi...

Kwamba baada ya 2030 nn kitatokea?

Mtampa sumu msingizie karma?
Ndugu mwambie nduguyo kuwa, usalama wake ni kwa Mungu pekee muumba wa mbingu na nchi

Sharti la Mungu kumpokea yeyote na kumfanya wake tena ukiwemo wewe nyakubonga huwa ni moja tu na ni rahisi kabisa. Ni kubali tu kuwa ulikosea, umetenda dhambi kwa kuumiza watu wengine. Hii kwa kifupi huitwa TOBA.!

Ndugu nyakubonga mzigo wa dhambi ni mzito mno, haubebeki isipokuwa kuupeleka kwa anayeweza kukusaidia na ni mmoja tu, YESU KRISTO pekee yake, maana anasema👇🏻👇🏻

Mathayo 11:28-30 SUV

"....Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi..."

Akishindwa kuelewa hilo☝🏻☝🏻☝🏻afahamu moja tu kuwa, mlipiza kisasi (ambaye ni Mungu mwenyewe) yupo kazini na atamtumia yeyote ili mradi kila mtu apokee malipo ya kazi ya mikono yake..

Inawezekana hunielewi. Lakini Neno la Mungu liko very crystal clear linasema hivi kwa uwazi kabisa👇🏻👇🏻👇🏻

WARUMI 12:19 SUV

"........Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana...."

Na tena Mungu anaendelea kusema hivi👇🏻👇🏻


WARUMI 8:23 SUV

"........Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu...."

Mwambieni ukweli huyu ndugu. Kiburi na kukosa unyenyekevu kwa Neno la Mungu kutamuua. Aache kiburi, akimbilie kwa Mungu. Atapata aibu kwa muda lakini huko ndiko kuikoa nafsi yake!
 
Acheni unafiki..

Mnaua watu kisa mnaogopa kuharibiwa ugali, hamna uzalendo wowote kwa taifa hili...

Kama mna uhakika alitenda ubaya sumu za nini?

Kwanini msisubiri karma ifanye kaz?
 
Acheni unafiki..

Mnaua watu kisa mnaogopa kuharibiwa ugali, hamna uzalendo wowote kwa taifa hili...

Kama mna uhakika alitenda ubaya sumu za nini?

Kwanini msisubiri karma ifanye kaz?
Hata shetani huweza kujiita "mzalendo wa nchi au wa taifa"

Ukweli siku zote humweka mtu huru. Kama mnampaka ndugu yenu mafuta kwa mgongo wa chupa badala ya kumwambia ukweli mgumu ili akabiliane nao, basi ni wazi kuwa HAMPENDI KABISA!

Kama mpaka hapo hujanielewa, sijui utaelewa kitu gani wewe nyakubonga!

Unaongelea "karma". Unaelewa maana yake? Kwa taarifa yako maandiko hayo niliyonukuu hapo juu ndiyo KARMA yenyewe. Mungu ni KARMA na KARMA ni Mungu. Jifunze,utaelewa tu usikate tamaa!!!
 
Mfano ungelikua wewe ndo Makonda kwa aliyoyafanya yngekimbilia nchi gani?

Maana hata US ambaye ndo kiranja kampiga Pini huyo mtu
Akajiunge na vikundi vya waasi huko kongo,Somalia n.k....maisha yake yawe katikati ya vita ndo sehemu pekee ya kujificha wasimpate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…