Naangalia kipindi cha Tv hapa anaongea Nakaaya Sumari

Sasa kisa kuchukuliana bwana ndo amuache ndugu yake? Km huyo Luca si ashamuoa yeye Nancy, kwan kosa LA nakaaya nn? Huyo mumewe malayaa ndo ange deal nae,

Hivi ndugu wanakubali vipi Nancy amtenge Nakaaya na uwezo wa kumtunza anao?? Khaaah
Unaona, wewe unasema una za chemba sijui. lakini hata hawa wawili hujui kama ni ndugu na hujui kuhusu wao wakati ni mastaa wakubwa, nawajua vizuri hawa dada zangu. But siwezi wazungumzia, nawaheshimu na kuwapenda
 
Kama vitu hamjui msiwe mnahukumu
 
Unaona, wewe unasema una za chemba sijui. lakini hata hawa wawili hujui kama ni ndugu na hujui kuhusu wao wakati ni mastaa wakubwa, nawajua vizuri hawa dada zangu. But siwezi wazungumzia, nawaheshimu na kuwapenda
Tupe umbea,....humu hawawezi kugundua kama ni wewe ndiye uliyesema.
 
Unaona, wewe unasema una za chemba sijui. lakini hata hawa wawili hujui kama ni ndugu na hujui kuhusu wao wakati ni mastaa wakubwa, nawajua vizuri hawa dada zangu. But siwezi wazungumzia, nawaheshimu na kuwapenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisiwajue Nakayaa na Nancy?? Kuhusu kudate na bwana m1 najua, ila nilijua nakaaya ndo aliingilia penzi LA mwezie, kumbe Nancy ndo aliiba bwanaa.

Uduguui utuliageee nawee.
 
Nancy aache roho mbayaa, amuinue dada ake, na huyo Luca kwann asijaribu kumshawishi mkewe wapatane na dada ake, lol
Uduguu hawa utakua huwajui vizuri maana unaunga tu story. Hata hivyo Nancy kwani ni millionea hadi amuinue dada yake? Maisha haya yaoneni kwenye media tu, uhalisia tunaujua wenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu Nancy atafanana na nakaaya ki uchumi? Hebu sema kwani? Hata km hatuyajui ya ndani but Nancy yuko vizuri kiuchumi zaidi ya Nakaaya. Hilo halikwepekiii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisiwajue Nakayaa na Nancy?? Kuhusu kudate na bwana m1 najua, ila nilijua nakaaya ndo aliingilia penzi LA mwezie, kumbe Nancy ndo aliiba bwanaa.

Uduguui utuliageee nawee.
Mnaongea uongo sana, Nancy amekutana na luca kupitia Kelvin yule alikua meneja wa tigo, voda , airtel.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu Nancy atafanana na nakaaya ki uchumi? Hebu sema kwani? Hata km hatuyajui ya ndani but Nancy yuko vizuri kiuchumi zaidi ya Nakaaya. Hilo halikwepekiii.
Kwa hiyo nancy kumiliki bongo five, nyota na net sumari tayari ashakua milionea hadi kumsaidia dada yake? Nani kakuambia nakaaya ana maisha mabaya? Aliyumba kidogo sababu ya ajali aliyopata, ilimuweka muda mrefu kitandani.

Mwingine hapo anakuambia Nancy ni mtoto wa pili. Jf kuna uongo mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…