Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
Wanasema ndege huyo huwa ana uwezo wa kuhisi kifo. Habari hizi nilizisikia kwa baadhi ya wazee miaka ya nyuma kidogo nilikuwa kijiji kimoja huko Dodoma ndani ndani.Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia saa saba usiku. Hii ni tofauti na siku za nyuma hatukua tukisikia hizo kelele za bilundi na hata baada ya mtoto kufa hatujasikia tena. Hii ni ajabu sana! Binafsi sikuwah kuamini hilo
Aisee mimi sasa nimekuja kuamini. Tumemzika huyo mtoto juzi. Lakini siku zote za uhaki wake kila siku lazima bundi walieWanasema ndege huyo huwa ana uwezo wa kuhisi kifo. Habari hizi nilizisikia kwa baadhi ya wazee miaka ya nyuma kidogo nilikuwa kijiji kimoja huko Dodoma ndani ndani.
Ni UONGO bundi hana hizo Mambo kinachomfanya bundi afuatilie nyumbani kwenu anawinda PANYA sio habari za mtu kufa sijui mzoga kufanya nini hizo ni porojo tu hakuna ukweli wowoteAisee mimi sasa nimekuja kuamini. Tumemzika huyo mtoto juzi. Lakini siku zote za uhaki wake kila siku lazima bundi walie
Nyie watoto wa miaka 2005 mna shida sana. Mnajifanya wajuajiUONGO bundi ni ndege tu hana hayo masuala ya mauzauza ni maruweruwe yako tu yanakusumbua
Na huu ndio ukweli hautaki beba bango andamana
Huku ninapoishi kuna bundi kibao wanalia usiku hakuna hizo Mambo za uchuro
Kukosa elimu ni mbaya Sana leo ndo nimeamini kupitia hili bandikoNi wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia saa saba usiku. Hii ni tofauti na siku za nyuma hatukua tukisikia hizo kelele za bilundi na hata baada ya mtoto kufa hatujasikia tena. Hii ni ajabu sana! Binafsi sikuwah kuamini hilo
Japo wengi humuhusisha bundi na imani za kishirikina.Aisee mimi sasa nimekuja kuamini. Tumemzika huyo mtoto juzi. Lakini siku zote za uhaki wake kila siku lazima bundi walie
Mimi sio wa 2005 uwe na adabu unaweza ukawa unabishana na Baba yako mzaziNyie watoto wa miaka 2005 mna shida sana. Mnajifanya wajuaji
Unakuta bundi anapigwa miti analia kimahaba akisema ooooh yes ongeza mwendo ,wewe uko zako ndani unasema Ni uchuro kumbe wanakulana huko juu ya mtiAisee mimi sasa nimekuja kuamini. Tumemzika huyo mtoto juzi. Lakini siku zote za uhaki wake kila siku lazima bundi walie
ana sense seli zinazoanza kufa ndo maaanaWanasema ndege huyo huwa ana uwezo wa kuhisi kifo. Habari hizi nilizisikia kwa baadhi ya wazee miaka ya nyuma kidogo nilikuwa kijiji kimoja huko Dodoma ndani ndani.
Bundi ananusa alafu na kuisi mzoga maana mtu uanza kufa taratibu hasa mgongwa na ndio maana bundi ulia sana kwenye nyumba zenye wagonjwa waliozidiwa.Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia saa saba usiku. Hii ni tofauti na siku za nyuma hatukua tukisikia hizo kelele za bilundi na hata baada ya mtoto kufa hatujasikia tena. Hii ni ajabu sana! Binafsi sikuwah kuamini hilo
UONGOana sense seli zinazoanza kufa ndo maaana
Bundi ana uwezo mkubwa wa kuhisi harufu za sell zinazokufa.....!!Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia saa saba usiku. Hii ni tofauti na siku za nyuma hatukua tukisikia hizo kelele za bilundi na hata baada ya mtoto kufa hatujasikia tena. Hii ni ajabu sana! Binafsi sikuwah kuamini hilo
Yes, kitu kama hicho so, bundi akiwa maeneo basi kama kuna mgonjwa watu wazima huwa wanajua kabisa kuwa huyu hatoboiana sense seli zinazoanza kufa ndo maaana
UONGONiliwahi kusikia mahali kuwa bundi amebarikiwa kuhisi harufu ya mzoga hata kabla kiumbe hakijapoteza uhai wake ndio maana ni kawaida bundi kulia sehemu ambayo kuna mgonjwa
Ni kweli kabisa, kiumbe kinapotaka kufa huanza na kufa Kwa sehemu mbali mbali za mwili Ile siku moyo unasimama sio kwamba ndio kiumbe kimekufa ila kama chanzo ugonjwa basi kilishaanza kufa,Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia saa saba usiku. Hii ni tofauti na siku za nyuma hatukua tukisikia hizo kelele za bilundi na hata baada ya mtoto kufa hatujasikia tena. Hii ni ajabu sana! Binafsi sikuwah kuamini hilo
Sio unabisha tuu chukua mda ujifunzeUONGO