stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
UONGOYes, kitu kama hicho so, bundi akiwa maeneo basi kama kuna mgonjwa watu wazima huwa wanajua kabisa kuwa huyu hatoboi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UONGOYes, kitu kama hicho so, bundi akiwa maeneo basi kama kuna mgonjwa watu wazima huwa wanajua kabisa kuwa huyu hatoboi
Achana naeSio unabisha tuu chukua mda ujifunze
Nyie watoto wa miaka 2005 mna shida sana. Mnajifanya wajuaji
UONGOSio unabisha tuu chukua mda ujifunze
Wewe pia MUONGOAchana nae
😂😂😂😂DaaahUnakuta bundi anapigwa miti analia kimahaba akisema ooooh yes ongeza mwendo ,wewe uko zako ndani unasema Ni uchoro kumbe wanakulana huko juu ya mti
Nimekwambia huku nilipo Bundi wanalia usiku hakuna anaekufa mnalishana Imani potofu tu Kamchape LambalambaMimi nafuga bundi na unachokisema ni Uongo au Akili za Watu wenye upeo Mdogo.
Bundi ni ndege akilia mara nyingi NI akiwa ananjaa, au anakiu.
😂😂😂Baba mzazi afu una mihemko kiasi hichoMimi sio wa 2005 uwe na adabu unaweza ukawa unabishana na Baba yako mzazi
Sasa kuhisi harufu ya mzoga na kulia kwake kunahusikaje? Nieleweshen kwenye hiliNiliwahi kusikia mahali kuwa bundi amebarikiwa kuhisi harufu ya mzoga hata kabla kiumbe hakijapoteza uhai wake ndio maana ni kawaida bundi kulia sehemu ambayo kuna mgonjwa
Ok tunaomba picha za huo mfugo wakoMimi nafuga bundi na unachokisema ni Uongo au Akili za Watu wenye upeo Mdogo.
Bundi ni ndege akilia mara nyingi NI akiwa ananjaa, au anakiu.
Nimekwambia huku nilipo Bundi wanalia usiku hakuna anaekufa mnalishana Imani potofu tu Kamchape Lambalamba
Anaesema Bundi fyoko fyoko muulize Bundi sauti yake ipoje hajui au muulize Bundi analiaje hajui au muulize Bundi analia mda gani usiku hajuiUnakuta bundi anapigwa miti analia kimahaba akisema ooooh yes ongeza mwendo ,wewe uko zako ndani unasema Ni uchoro kumbe wanakulana huko juu ya mti
Hio elimu unayoiongelea hata hunifikii kwa chembeKukosa elimu ni mbaya Sana leo ndo nimeamini kupitia hili bandiko
Nimewahi kusikia hivyo pia. Lakini cha kushangaza hawajazani Mwananyamala, Aga Khan na Muhimbili.Bundi ananusa alafu na kuisi mzoga maana mtu uanza kufa taratibu hasa mgongwa na ndio maana bundi ulia sana kwenye nyumba zenye wagonjwa waliozidiwa.
😂😂😂😂Duuh bundi anawinda panya😂😂😂Ni UONGO bundi hana hizo Mambo kinachomfanya bundi afuatilie nyumbani kwenu anawinda PANYA sio habari za mtu kufa sijui mzoga kufanya nini hizo ni porojo tu hakuna ukweli wowote
Inasemwa bundi ana uwezo mkubwa wa kusikia au ku sense mzoga au seli zilizo kufa...Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia saa saba usiku. Hii ni tofauti na siku za nyuma hatukua tukisikia hizo kelele za bilundi na hata baada ya mtoto kufa hatujasikia tena. Hii ni ajabu sana! Binafsi sikuwah kuamini hilo