Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

Kwahiyo bila familia yako kukukataza unaweza kuweka singo mama ndani kama mke! Nakusikitikia kijana
 
Wototo wa 2000 usiguse mzee ni hatari Hadi mondi kavitungia nyimbo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vimeshamchanganya adi mondi,vingine ndoivo vinachambana na T.i.d
 
Utajuaje kama amezaa wawili kiuaminifu bila historia ya kutoa mimba kabla au baada?
 
Wazazi wako wanakupenda mkuu, wameona mbali.
 
Una kazi na kipato unafeli wapi kupata mtoto mzuri tena mbichi na wamejaa kibao kwa mamilioni. Watoto wazuri wa 2000 wamejaa mtaani na hawana watoto wala sio single mother?

Wewe utakuwa unapenda vya vibudu vya kuwinda huviwezi.
VP mkuu hujavuta moshi bado
 
Umekosa kabisa ambaye hana mtoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…