Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

Kwahiyo bila familia yako kukukataza unaweza kuweka singo mama ndani kama mke! Nakusikitikia kijana
 
Wototo wa 2000 usiguse mzee ni hatari Hadi mondi kavitungia nyimbo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vimeshamchanganya adi mondi,vingine ndoivo vinachambana na T.i.d
 
Huko kwenu hakuna wazazi walikutana kabla ya kuwa na watoto?

Kuna wengine walizaliwa nje ya ndoa ila hawataki kuoa mwanamke aliyezaa.

Wengine wanataka kuoa walio toa mimba 20+( wauaji) lakini hawataki waliozaa watoto wawili(waaminifu).

Unafiki mbaya sana huu!
Utajuaje kama amezaa wawili kiuaminifu bila historia ya kutoa mimba kabla au baada?
 
Wazazi wako wanakupenda mkuu, wameona mbali.
 
Una kazi na kipato unafeli wapi kupata mtoto mzuri tena mbichi na wamejaa kibao kwa mamilioni. Watoto wazuri wa 2000 wamejaa mtaani na hawana watoto wala sio single mother?

Wewe utakuwa unapenda vya vibudu vya kuwinda huviwezi.
VP mkuu hujavuta moshi bado
 
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee.

Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto.

Yaani hapa sielewi, kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Umekosa kabisa ambaye hana mtoto?
 
Back
Top Bottom