Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vimeshamchanganya adi mondi,vingine ndoivo vinachambana na T.i.dWototo wa 2000 usiguse mzee ni hatari Hadi mondi kavitungia nyimbo
Mimi ni dada siyo!Naona kisu kimekupiga kwenye mfupa. Pole dada angu mtoa mada hakukulenga wewe.
Utajuaje kama amezaa wawili kiuaminifu bila historia ya kutoa mimba kabla au baada?Huko kwenu hakuna wazazi walikutana kabla ya kuwa na watoto?
Kuna wengine walizaliwa nje ya ndoa ila hawataki kuoa mwanamke aliyezaa.
Wengine wanataka kuoa walio toa mimba 20+( wauaji) lakini hawataki waliozaa watoto wawili(waaminifu).
Unafiki mbaya sana huu!
Huwa wanasema. Na huwa siri zao zinavujaUtajuaje kama amezaa wawili kiuaminifu bila historia ya kutoa mimba kabla au baada?
VP mkuu hujavuta moshi badoUna kazi na kipato unafeli wapi kupata mtoto mzuri tena mbichi na wamejaa kibao kwa mamilioni. Watoto wazuri wa 2000 wamejaa mtaani na hawana watoto wala sio single mother?
Wewe utakuwa unapenda vya vibudu vya kuwinda huviwezi.
Umekosa kabisa ambaye hana mtoto?Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee.
Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto.
Yaani hapa sielewi, kazi ninayo kipato cha kati ninacho..