Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee.

Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto..

Yaani hapa sielewi kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Hata kuchagua huwezi, kuishi nae utawezana?. Vijana wa CCM ndio wako na akili kama zako
 
Kwa Miaka Inavyoenda Vijana Tutaoa Sana Single Mother. Maana Wadada Walio Wengi Wana Watoto Na Hawajaolewa. Kwa Hiyo Jamii Wazazi Muwe Makini Na Watoto Wenu Wa Kike.
 
Una kazi na kipato unafeli wapi kupata mtoto mzuri tena mbichi na wamejaa kibao kwa mamilioni. Watoto wazuri wa 2000 wamejaa mtaani na hawana watoto wala sio single mother?

Wewe utakuwa unapenda vya vibudu vya kuwinda huviwezi.
Hao unaosema wa 2000 ndio wale wa kukesha wanavuta shisha na kupanda juu ya meza, Jamaa atulize tu Akili asiwe na haraka sana kwenye swala la kuoa
 
Una kazi na kipato unafeli wapi kupata mtoto mzuri tena mbichi na wamejaa kibao kwa mamilioni. Watoto wazuri wa 2000 wamejaa mtaani na hawana watoto wala sio single mother?

Wewe utakuwa unapenda vya vibudu vya kuwinda huviwezi.
Wototo wa 2000 usiguse mzee ni hatari Hadi mondi kavitungia nyimbo
 
Pole Ila jitahidi ufanye hivi.

Kuwa na mpango au mipango kinachoendelea hapo ni kukosa mipango katika swala mahusiano .

Ukitumia umri katika kuoa utakosa mwanamke sahihi , maana utakuwa unapambana Sana kukimbizana na umri na sio kukimbizana na malengo na kukimbizana na umri huwa ni kazi ngumu Sana.

Ushauri .

Tumia kanuni inaitwa "act like you don't need it"

Jifanye Kama hautaji kitu -maana yake tumia mkakati wa kutafuta mwanamke kipindi ambacho wewe binafsi hauna uhitaji naye

Hii itakufanya kukutana na mwanamke ambaye sio singo maza na ,ambaye sio rejected .

Mwisho
Msongo wa mawazo utaweza kuoondoa endapo utasahu kuhusu umri wako na utakumbuka kuhusu malengo yako .

Kanuni ya "Act like you don't need it " ndo kanuni bora .
asante sana kwa ushauri mkuu
 
Moja ya content isio vutia ni hii.
Yani hao singo maza mmewachafua sana kitaa harafu saivi unakuja na slogan yakwamba wazazi wamekuonya usiangukie pua kuoa singo maza wakati nyinyi wenyewe ndio chanzo kikubwa cha yote hayo.
NAKUULIZA UNATAKA HAO WAOLEWE NAWAKINA NANI SASA? 😎😎😎😎😎😎😎😎
Waliowazalisha...
 
Kwa Miaka Inavyoenda Vijana Tutaoa Sana Single Mother. Maana Wadada Walio Wengi Wana Watoto Na Hawajaolewa. Kwa Hiyo Jamii Wazazi Muwe Makini Na Watoto Wenu Wa Kike.
Mapimbi tu ndiyo watakaooa masingomaza. Kumbuka kila siku vigori vinatimiza miaka 18. Hao maveterani mnawasumbukia nini?
 
watu wengine wazembe unashindwa vipi kuingia bushi ukatafuta kitoto kibichi cha 2000
 
Una kazi na kipato unafeli wapi kupata mtoto mzuri tena mbichi na wamejaa kibao kwa mamilioni. Watoto wazuri wa 2000 wamejaa mtaani na hawana watoto wala sio single mother?

Wewe utakuwa unapenda vya vibudu vya kuwinda huviwezi.
Anataka apate libed to bed maestro.
 
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee.

Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto..

Yaani hapa sielewi kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Wee jamaa! Kwa akili hizo sijui kama utamudu mke! "Single mother" unaenda kuoa shida! Hao ni shida! Huyo ni mke wa mtu!
 
Huko kwenu hakuna wazazi walikutana kabla ya kuwa na watoto?

Kuna wengine walizaliwa nje ya ndoa ila hawataki kuoa mwanamke aliyezaa.

Wengine wanataka kuoa walio toa mimba 20+( wauaji) lakini hawataki waliozaa watoto wawili(waaminifu).

Unafiki mbaya sana huu!
Naona kisu kimekupiga kwenye mfupa. Pole dada angu mtoa mada hakukulenga wewe.
 
Back
Top Bottom