Pole Ila jitahidi ufanye hivi.
Kuwa na mpango au mipango kinachoendelea hapo ni kukosa mipango katika swala mahusiano .
Ukitumia umri katika kuoa utakosa mwanamke sahihi , maana utakuwa unapambana Sana kukimbizana na umri na sio kukimbizana na malengo na kukimbizana na umri huwa ni kazi ngumu Sana.
Ushauri .
Tumia kanuni inaitwa "act like you don't need it"
Jifanye Kama hautaji kitu -maana yake tumia mkakati wa kutafuta mwanamke kipindi ambacho wewe binafsi hauna uhitaji naye
Hii itakufanya kukutana na mwanamke ambaye sio singo maza na ,ambaye sio rejected .
Mwisho
Msongo wa mawazo utaweza kuoondoa endapo utasahu kuhusu umri wako na utakumbuka kuhusu malengo yako .
Kanuni ya "Act like you don't need it " ndo kanuni bora .