Duuh!! Tukisema wanaume mnazidi kupungua huwa hamtaki sasa hebu ona yaani hadi kumtokea mtu unakuja huku wanaume wenzio ndo wakupe mistari. Lol
nipe namba yake nikusaidie!! kufika jpili nitakupa majibuNdugu zangu tusaidiane swaga apa kidogo.
Leo ofisini kuna msichana alikuja, mimi nilitoka ile narudi ndo nikamuona pale. kwa ule uzuri nikashindwa hata kusalimia sasa baada ya yeye kuondoka ikabidi nikaangalie namba yake kwenye daftari la maudhurio niko nayo apa sjui nianzaje.
Rushwa, ufisadi na uzembe makazini ni mazao ya CCM.Ndugu zangu tusaidiane swaga apa kidogo.
Leo ofisini kuna msichana alikuja, mimi nilitoka ile narudi ndo nikamuona pale. kwa ule uzuri nikashindwa hata kusalimia sasa baada ya yeye kuondoka ikabidi nikaangalie namba yake kwenye daftari la maudhurio niko nayo apa sjui nianzaje.
Piga simuAmnaaa alikuja kupata hudumaa ofsini kwetu
Asantee broo duuuuuh ngoja nikaanziaa sasa iviPiga simu
Adonack: Mambo, naitwa Adonack napiga simu kutoka ofisi ABC.
Naongea na Nanihii?
Nanihii: Ndiyo.
Adonack: Sawa. Nimepiga kufuatilia uridhishwaji wa mteja na huduma za ofisi yetu. Mwaka huu tumeazimia kukusanya maoni kila baada ya miezi 6 na wewe ni miongoni mwa wateja wetu wa kwanza kwanza kuwapigia.
(Subiri jibu au ishara ya kuonyesha kaelewa)
Ukimaliza hapa. Usimcheki mpaka siku mbili au zipite. Kisha ruka tena hewani.
Adonack: Hello mambo vipi.
Nanihii: Poa.
Adonack: Leo sijapiga kwa ajili ya customer review (jichekeshe kiume) leo nimepiga kushangaa sijaona ukirudi ofisini kwetu tena.
(Subiri jibu)
Chill kisha baadaye hivi mtext. Uliza anapoishi na ishu kama hizo.
Siku mbili mbele (kama bado hamjaonana) text "I want to see more of u"
Subiri jibu. Akitoa jibu positive omba appointment ya lunch, likiwa negative nitumie PM nilione nikufundishe cha kufanya.
Iko hivi hata mwanamke akupende vipi kama hujui kujieleza unatoka kapa mchana kweupe na jua linawaka.
Nirushie namba yake kama yuko Dar.Ndio yan jina namba ya simu joto lako na uliko toka alafu mtoto anaonekana anajotoo kwelii yule
Oyaaaπ€£π€£π€£Ndio yan jina namba ya simu joto lako na uliko toka alafu mtoto anaonekana anajotoo kwelii yule
Ulete mrejeshoAsantee broo duuuuuh ngoja nikaanziaa sasa ivi
we kweli ni legendMsubiri kesho muulize Tu katokea wapi? Akitaja hiyo sehemu jifanye uliwahi fanya kazi huko .. jifanye unashangaa mbona hukuwahi kumuona...baasi.
Baadae lunch time ndo mtumie SMS.. mwambie twende lunch baasi.