BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hebu shuhudia hata penalti mtu anapata kigugumizi cha hata kuugusa mpira!!! ๐๐ si bora hata apige halafu agonge mwamba? Mtundu wewe!!! ๐๐๐
Duuh!! Tukisema wanaume mnazidi kupungua huwa hamtaki sasa hebu ona yaani hadi kumtokea mtu unakuja huku wanaume wenzio ndo wakupe mistari. Lol