Naanzisha vita Rasmi na huyu jamaa anayejiita GENTAMYCINE

Status
Not open for further replies.
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.

Tafadhali sana YinYang msifutee huu uzi,nakuombeni sana maana nahitaji ujumbe umfikie mlengwa.

Sikupaswa kuandika hapa lakini kwasababu umeamua kuniblock huko pm kila nikikuandikia sms haziendi,sasa nimeona nije public ili ufahamu ya kwamba wewe unayejiita GENTAMYCINE nahitaji tukutane tukiwa wawili tu kwa ajili ya kutibitisha mimi na wewe nani mwanaume,kiukweli nakutamani sana na nina uchungu mno na wewe na nakuahidi ukinipiga nitakuheshimu.

Umekuwa kila mara ukinitukania mama yangu kwenye mijadala,huwa unaanzisha mada zako za ovyo halafu nikija kukomenti unarudishia kwa matusi yanayomuhusu mama yangu,na umekuwa ukisema unachokozwa,ina maana wewe ukianzisha mada zako za ovyo huwa si uchokozi kwa watu wengine?,Ina maana wewe uwe unaanzisha mada zako za kijinga halafu tukuangalie tu hata kama unatuchokoza?

Labda kwa wengine ila si kwa mkurya mimi.

Sasa naomba ufungue pm yako na tutafutane ili unithibitishie kweli kama wewe ni mwanaume,acha kuandika hapa na kujisifu kwamba wewe ni mbabe wakati umejificha nyuma ya keyboard.

Aisee wewe jamaa nakutamani sana na nitakukung'uta sana,kama kweli wewe ni mwanaume fungua pm nichati na wewe,hili jambo sikupaswa kulileta hapa,nilipaswa nimalizane na wewe huko pm ili tukutane tuonyeshane ubabe.

Huu ni ujumbe wako GENTAMYCINE na naomba unicheki pm kwa lengo la kupanga mimi na wewe ni wapi tukutane tukiwa wawili tu ili tuzichape,lengo la kuwa wawili mimi na wewe ni kwasababu sitaki awepo mtu wa kutuachanisha,inapaswa tukung'utane ili atakaye zidiwa amkimbie mwenzie.

Nawasilisha
We mwalimu njaa Mpwayungu Village njoo uchukue udon hapa ebu andaa pambano la hii miamba miwili jf

Natamani kuona GENTAMYCINE acheze kipigo...ahaaajaaaa,tena kipigo heavyy
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.

Tafadhali sana YinYang msifutee huu uzi,nakuombeni sana maana nahitaji ujumbe umfikie mlengwa.

Sikupaswa kuandika hapa lakini kwasababu umeamua kuniblock huko pm kila nikikuandikia sms haziendi,sasa nimeona nije public ili ufahamu ya kwamba wewe unayejiita GENTAMYCINE nahitaji tukutane tukiwa wawili tu kwa ajili ya kutibitisha mimi na wewe nani mwanaume,kiukweli nakutamani sana na nina uchungu mno na wewe na nakuahidi ukinipiga nitakuheshimu.

Umekuwa kila mara ukinitukania mama yangu kwenye mijadala,huwa unaanzisha mada zako za ovyo halafu nikija kukomenti unarudishia kwa matusi yanayomuhusu mama yangu,na umekuwa ukisema unachokozwa,ina maana wewe ukianzisha mada zako za ovyo huwa si uchokozi kwa watu wengine?,Ina maana wewe uwe unaanzisha mada zako za kijinga halafu tukuangalie tu hata kama unatuchokoza?

Labda kwa wengine ila si kwa mkurya mimi.

Sasa naomba ufungue pm yako na tutafutane ili unithibitishie kweli kama wewe ni mwanaume,acha kuandika hapa na kujisifu kwamba wewe ni mbabe wakati umejificha nyuma ya keyboard.

Aisee wewe jamaa nakutamani sana na nitakukung'uta sana,kama kweli wewe ni mwanaume fungua pm nichati na wewe,hili jambo sikupaswa kulileta hapa,nilipaswa nimalizane na wewe huko pm ili tukutane tuonyeshane ubabe.

Huu ni ujumbe wako GENTAMYCINE na naomba unicheki pm kwa lengo la kupanga mimi na wewe ni wapi tukutane tukiwa wawili tu ili tuzichape,lengo la kuwa wawili mimi na wewe ni kwasababu sitaki awepo mtu wa kutuachanisha,inapaswa tukung'utane ili atakaye zidiwa amkimbie mwenzie.

Nawasilisha
Pole mkuu kwa kukwazika ila jifunze kumpuuza tu, sio mzima kichwani.
 
Jitu linalojinadi kwa matusi siku zote naliona jinga jinga tu, halafu mimi ndio huwa namchokonoa ili afure vizuri apasuke..

Kuna hili Von_Lufuta linapenda sana kutukana, Ana bichwa kama Boga..

Wee Von_Lufuta lete pua zako hapa kama firimbi uje utukane...
Rubish

@ Huyo genta mimi nikajua aliacha hizo mambo ilikua ni zamani?

Na wewe GENTAMYCINE kama bado uringa na matusi na umri huo, wewe nawe ni bata, bichwa kama kitimoto.
Rubish.
Unajua Genta ana umri gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom