Naanzisha vita Rasmi na huyu jamaa anayejiita GENTAMYCINE

Naanzisha vita Rasmi na huyu jamaa anayejiita GENTAMYCINE

Status
Not open for further replies.
Anapigana Russia na Ukraine ije kua sisi? Lazima wnaume mpigane ili muheshimiane, watu mnaojificha kwenye busara mara hekima hua ni waoga waoga tu
Waoga tena Wana ukike like mwingi
 
Ukiona mtu bado ana fikra za ugomvi kupigana kubishana ujue ukomavu wa akili yake bado haujafika kileleni
Mkuu bila kutwangana heshima haitakuwepo kati yangu na yeye,kila siku kutukukanana hapa kunapelekea kufungiwa,sasa nimechoshwa na matusi yake,nahitaji tupigane ili hasira zangu zipoe dhidi yake
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.

Tafadhali sana YinYang msifutee huu uzi,nakuombeni sana maana nahitaji ujumbe umfikie mlengwa.

Sikupaswa kuandika hapa lakini kwasababu umeamua kuniblock huko pm kila nikikuandikia sms haziendi,sasa nimeona nije public ili ufahamu ya kwamba wewe unayejiita GENTAMYCINE nahitaji tukutane tukiwa wawili tu kwa ajili ya kutibitisha mimi na wewe nani mwanaume,kiukweli nakutamani sana na nina uchungu mno na wewe na nakuahidi ukinipiga nitakuheshimu.

Umekuwa kila mara ukinitukania mama yangu kwenye mijadala,huwa unaanzisha mada zako za ovyo halafu nikija kukomenti unarudishia kwa matusi yanayomuhusu mama yangu,na umekuwa ukisema unachokozwa,ina maana wewe ukianzisha mada zako za ovyo huwa si uchokozi kwa watu wengine?,Ina maana wewe uwe unaanzisha mada zako za kijinga halafu tukuangalie tu hata kama unatuchokoza?

Labda kwa wengine ila si kwa mkurya mimi.

Sasa naomba ufungue pm yako na tutafutane ili unithibitishie kweli kama wewe ni mwanaume,acha kuandika hapa na kujisifu kwamba wewe ni mbabe wakati umejificha nyuma ya keyboard.

Aisee wewe jamaa nakutamani sana na nitakukung'uta sana,kama kweli wewe ni mwanaume fungua pm nichati na wewe,hili jambo sikupaswa kulileta hapa,nilipaswa nimalizane na wewe huko pm ili tukutane tuonyeshane ubabe.

Huu ni ujumbe wako GENTAMYCINE na naomba unicheki pm kwa lengo la kupanga mimi na wewe ni wapi tukutane tukiwa wawili tu ili tuzichape,lengo la kuwa wawili mimi na wewe ni kwasababu sitaki awepo mtu wa kutuachanisha,inapaswa tukung'utane ili atakaye zidiwa amkimbie mwenzie.

Hakuna silaha itakayotumika,zitapigwa ngumi kavu.

Nawasilisha
Mkuu achana naye huyo, ni vitoto vya wajeshi vilivyokua na kwashiokor, akili haikuwahi kukomaa.
 
😂😂😂😂😂Mambo mengine ni full furaha.Ni pale mmoja atakapotwangwa halafu akimbie huku anapayuka:"Kontema ontemere muraa.Rakini ekhembhumbhu nayere muraa"!
 
Mkuu achana naye huyo, ni vitoto vya wajeshi vilivyokua na kwashiokor, akili haikuwahi kukomaa.
Mkuu unadhani naachana nae,nina hasira sana dhidi yake,ili hizi hasira zipoe nahitaji kupigana nae tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom